Bodaboda ni Mmbea!

Bodaboda ni Mmbea!

Sergio69

Senior Member
Joined
Mar 12, 2025
Posts
141
Reaction score
255
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa

Tatizo liko wapi?

Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
 
Jambo la msingi ni kuacha magendo.
 
Ila kama anatoa taarifa ya kweli sidhani kama kuna shida.
 
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa

Tatizo liko wapi?

Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
Naona "Member" tunaongezeka!
 
hata hivyo mnawakopa sana aise dah!

na pesa mnapata kwa kazi mnazofanya huko maloji na magesti wanakowapeleka kwa wateja wenu tofauti tofauti 🐒
 
Ipo hivi mwanaume ukishatongoza manzi then ukaanza kuuchakata mkoba wa sadaka na ukaja gundua ana bodaboda wake,tafuta 20K mpe yule boda ili akupe siri huyo manzi,atakupa kila kitu na evidence zoote.Hii njia huwa nimetumia mara nyingi pindi nikitaka kumuacha mmiliki wa mkoba wa sadaka (yaani ni zaidi ya 5)
 
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa

Tatizo liko wapi?

Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"
Bodaboda huyo ndie anae vujisha siri mpaka unaacha au una achika.
Zinduka Bodaboda wako anaekupeleka magendo ndie aliyevunja mahusiano kadhaa mtaani fanya utafiti!
Acha magendo na ufuska bodaboda atakuwa hana la kusimulia, nyie ndo mnalaumu simu mbaya wakati simu yenyewe ukiongea inafikisha ujumbe tu, acha mambo mabaya uone kama Kuna mtu anakufuatilia, jilaumu mwenyewe kwa unachofanya si kwa anayetoa taarifa, mbona wewe ukiletewa za mtu wako na mambo yake humlaumu huyo bodaboda? Mkuki kwa nguruwe......
 
Back
Top Bottom