Bodaboda ni kazi ya ku take risk sana

Bodaboda ni kazi ya ku take risk sana

Kuendesha pikipiki barabara kuu ni risk haijalishi wewe ni bodaboda ama ni usafiri wako binafsi tu.

Nimeshuhudia misiba ya wazee wastaafu waliofariki ajali ya pikipiki wao wakiwa ndiyo madereva!
Si kweli,labda kama unazo statistics ku back up your argument. Kabla ya bodaboda watu walikuwa wanaendesha pikipiki sana tuu, za binafsi na za kazini. Mimi nimeendesha pikipiki miaka 20, nimeanzia Honda Trail 110, XL 125 na Baadae Yamaha 250...Sisi tulikuwa tunazingatia sana taratibu za usalama barabarani. Hii ya sasa unakuta alfajiri tayari vijana wameshapiga smart gin au Kvant kuna kitu hapo?
 
Si kweli,labda kama unazo statistics ku back up your argument. Kabla ya bodaboda watu walikuwa wanaendesha pikipiki sana tuu, za binafsi na za kazini. Mimi nimeendesha pikipiki miaka 20, nimeanzia Honda Trail 110, XL 125 na Baadae Yamaha 250...Sisi tulikuwa tunazingatia sana taratibu za usalama barabarani. Hii ya sasa unakuta alfajiri tayari vijana wameshapiga smart gin au Kvant kuna kitu hapo?
Labda huendeshi highway,

Takwimu za ajali za pikipiki nilizozipata zinaanzia 2007 ajali 1,600 ambapo vifo vilikuwa 193 kwa mwaka kwa namna yoyote itakuwa muujiza kusema mwaka 2000 hapakuwepo vifo wala ajali.


View: https://www.scribd.com/presentation/848951161/AJALI-ZA-BARABARANI


Binafsi ajali ya kwanza ya pikipiki nimeishuhudia 1998 ya pili 2001 Nundu jijini Mwanza!
 

Mburia huyo Pascal Mayalla siyo bodaboda na wala hakuwa kijana mwaka 2008 Dar-Dom kwa pikipiki.
 
Kazi hii ina raha sana ikija sula la kula mbususu sio za wake wa watu au form 4 b. ..huku ikijua kabisa kenge huyu anagegedwa na mbwa gani na gani
 
Kwani kuna kazi gani isiyo na risk wakuu? Kufa ni lazima na wanaharakisha vifo vyao kwa kukosa discipline tu, wapo wengi tu wamefanya miaka mingi tu na wengine hadi wakaacha na kufanya mengine baada ya kufikia malengo yao ya mtaji!
 
Me naona boda ana nafuu kuliko kazi ya mwalimu kwa nchi km Tz
 
Acha kabisa mkuu
 

Attachments

  • IMG_20250416_155221.jpg
    IMG_20250416_155221.jpg
    120.5 KB · Views: 18
Inasikitisha SANA mkuu
 

Attachments

  • IMG_20250407_023036.jpg
    IMG_20250407_023036.jpg
    281.4 KB · Views: 17
Mkuu boda bodaa hazina shidaa!
Tatizo ni wanoendesha!
Ila Lema alisema boda boda ni laana!.
Ngoja kwanza nikachukue abiria wa mwisho apo kitambaa cheupe afu nikalaze chuma..
 
Mbaya zaidi huko barabarani hawafati sheria kabisa, mi kwa mtazamo wangu bodaboda ndio wangepaswa kutii na kufata sheria za barabarani kusudi kwakufanya hivyo kungepunguza angalau ajali ambazo zingezuilika , lakini sasa nikama wana laana huko barabarani ni fujo tu , subra hawana , haraka wanazo wao tu
 
Katika vitu ambavyo nimemkubali Godbless Lema siku zote ni hili la kusema boda boda siyo kazi bali kuhatarisha maisha ya vijana.
juzi pale bunju dawasco boda boda kapigiwa honi na gari akataka atoke pembeni kumbe bara bara pembeni ina zile cabistone.ngao ya pikipiki ikapiga akarudishwa barabarani.karudisha namba mapema tu.alafu bado kijana na ana mke
 
Hii kazi inachangamoto nyingi ajali,kuuawa,kuporwa pikipiki,na hawa hawa huwaambii kitu kwa ccm
 
Bodaboda ni usafiri wa hatari sana
 
Kauli kama hizi zinaendelea kuwamaliza bodaboda kwasababu wanaamini mtu wakipata ajali ni kwavile wako kwenye utafutaji. Kumbe wala

Boda boda wengi hawatiii kabisa sheria za barabara kabisa hili ndo sababu kubwa.. Ajili zotr ni uzembe wa boda boda wenyewe hakuna cha kusema wa take risk.

Wako wazee na watu wazima tangu na tangu wako na hizo boda boda na wapo hadi leo hawajawahi pata hata mchubuko.

Tafuta ajali ya boda ambayo sio uzembe wao ulete kama utazipata.
 
Back
Top Bottom