Bodaboda na wake za watu

Uwezo wa kufikiri kama kuku ndio unaowaponza na tamaa za mwili kushindwa kuzizuia, tabia ya kupenda mtelezo wajiachie na mkono anaingia mazima jeuri huongezeka ndani ya nyumba na magonjwa kuyakaribisha ndani ya nyumba
 
Ngoma aje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini, hali ngumu ya kimaisha na kuwa na tamaa, kutokuwa na elimu ya dini nayo huchangia mporomoko wa maadili kwa kasi kubwa sana.
Nakubaliana kwenye hili la ukosefu wa elimu ya dini ambalo limepelekea kupolomoka kwa maadili.

Ila kuhusu ukosefu wa kipato si kweli kwa sababu hao wake za watu wanaoshoboka na madereva wa bodaboda wengine waume zao wana kipato kizuri tu au hata wenyewe wana kazi zao nzuri tu.
 
kupolomoka = kuporomoka
 
Mwanamke anaweza akawa na VOGI akampa papuchi mtu aliyemuwekea wese la buku 30 na kumsaliti aliyemnunulia VOGI wakati angemwambia huyo aliyemnunulia VOGI angeweza kumuwekea hata wese la laki.
USIKARIRI HIVYO!...wewe ukimnunulia simu mtu ukiombwa vocha huwa unalalamika sembuse mafuta? Wanawake hawapendi kupangiwa safari, aliyemnunulia Vogi akimuomba hela ya mafuta lazima atamuuliza unaenda wapi n.k Hawapendi kufuatiliwa
 
Ukimwi hautawaacha salama hao
kabisa mkuu af ikumbukwe pia hao boda boda ni wanaume pia kama wanaume wngne kuendesha kwao pkpk imefanya wadharaurike yan mtu akiskia mke wake anatmbea na boda boda anahis kadhalilishwa balaa ila akiskia ni dereva ata wa hiace au roli maumivu yanapungua kidg sio km kwa bodboda...tabu ipo pale pale
 
uku kwetu wadada wa kazi ndo wanafaidika na ma boda boda yan wote wanajua ratiba ya bosi wao kurudi ni kujiachia tu wanapewa hadi chai yan usipo anglia hadi chamchana wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…