Bodaboda na wake za watu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ....
Kikokotoo cha zamani kinatakiwa kudumu, wastaafu wa 2023 ndo wakione kikokotoo hiki kipya kinachopingwa na kila mpenda haki za wanyama, mafisi wakiwemo!
 
You nailed it!
 
Mwanamke unaweza mpa 7,000 akanunue Nyama, ila Muuza bucha akampunguzia 2,000 akawa ana muuzia kwa 5,000..

Mkeo atamuona muuza bucha ana roho nzuri, kuliko wewe uliyempa 7,000 akanunue nyama.

Ni stori hio,,, Ila kupenda vitonga ndio inafanya waliwe sana
 
Hapo umen
hahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba😢..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
.

Samahani lakini dada, mimi hapo nina mashaka na seriousness yako kwa majibu yako hayo. Unamjibuje ndiyo? Hapo tayari unavutia ukaribu na mazoea. Hata kama mnasema wengi wao hawana akili, hakuna mtu ambaye hana ufahamu kiasi hicho kama anaweza kuendesha bodaboda. Mpaka akuambie hivyo eti wakubwa wanafaidi, maana yake mlikuwa mnapiga stori au amepima machoni mwako kuna ulegevu fulani hivi. Mimi nilitarajia uwe mkali zaidi akikuambia hivyo, au unashuka kabisa na kuchukua bodaboda nyingine (kama ni lazima). Mwanamke serious kabisa ni vigumu sana kwa sisi wanaume kumtongoza. Labda ukijitoa ufahamu utamtongoza kwa mara ya kwanza lakini hutarudia tena mpaka yeye aruhusu mazingira ya maongezi mzoeane. Tatizo kubwa la wanawake wengi hawawezi kukaa kimya awaze mambo yake, wanapenda sana kuongea ongea ovyo au kusikiliza anachoongea mtu mwingine. Kwa hiyo kama dereva akiwa ni fundi wa kupiga domo na stori tatizo linaanzia hapo na silaha kubwa ya maangamizi kwa mwanamke ni kusifiwa, eti mumeo anafaidi sana, eti umeumbika mama dah, eti nadhani mtaani kwetu hakuna mwanamke mzuri kama wewe, eti mimi hata mwaka mzima nitakupeleka safari zako kokote bila kulipa nauli, eti mimi siwezi kabisa kumnyanyasa kiumbe mwanamke anatakiwa kupendwa na kulindwa kwa gharama yoyote- ili mradi ujinga mtupuuu na mwanamke roho kwatuuuuu.
 
My rule: mwanamke wangu sikuruhusu kumtumia sms boda au bajaji au dereva taxi. Kama huwezi kupiga niambie nimpigie mimi. Dah wewe jamaa mbona unaongea kama mwanamke tena sasa. Kwani anakuomba ruhusa wewe kabla ya kutuma hiyo sms??
 


Ndugu yangu...sina ukaribu na bodaboda awaye yoyote yule....kifupi sinaga rafik wa namna hizo..yaani ni mimi niamue kukuzoea na sjo ww eti unizoee from nowhere!...khaa...umri huu nani ananiletea majaribu mimi?????duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…