Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,181
- 17,656
Bado hujapona ugonjwa wako eenh!!Bodaboda ndo walikua waleta machafuko wakubwa baada ya kulambishwa dawa sasa wamepona
Wakulima tunaogopa hata kulima mashamba yetu yule mtangazaji wenu uchwara wa CNN akiona shamba limepaliliwa anasema ni ushahidi wa kaburi la halaikiBado hujapona ugonjwa wako eenh!!
Tatizo hata mambo ya teknolojia hujui, ukiwa magonjwa na akili zinapotea.Wakulima tunaogopa hata kulima mashamba yetu yule mtangazaji wenu uchwara wa CNN akiona shamba limepaliliwa anasema ni ushahidi wa kaburi la halaiki
Walioleta machafuko ni raia wa kigeniBodaboda ndo walikua waleta machafuko wakubwa baada ya kulambishwa dawa sasa wamepona
Nilivyofika hapa tu nikaishia hapo hapo.wakitoa salamu zao katika Kongamano la kupongeza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma,
Sheikh Bakonzi una vituko,Wakulima tunaogopa hata kulima mashamba yetu yule mtangazaji wenu uchwara wa CNN akiona shamba limepaliliwa anasema ni ushahidi wa kaburi la halaiki