Kila taarabu itaimbwaBakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Hivi hawa wapuuzi hawajifunzi tu?Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Hizo propaganda hamjaacha tu? Haya tukutane 9 December 2025Sio bodaboda tu hata sie wajasiriamali wadogo hatutoki, na hata madeiwaka wa mtaani wamesema hawatoki!
Wqlisema hivyo kwa October 29, hali ikawaje?Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Ubaya wa hizi vurugu zinapotokea huwa zinawakumba walio kuwepo na wasio kuwepo, hii ni tangu na tangu. Ndio maana tunazikemea.Nani kasema haya maandamano ni ya bodaboda!? Wao wakalale kabisa,hawajaalikwa, sheikh majini na yule mwandishi wa habari clouds waliouwa walikuwa bodaboda kwenye maandamano ya Mo29!?
Vijana mna akili ndogo sana, yaani watu wakitetea amani mnasema machawa. Hii haibadilishi ukweli ya kuwa Amani ni tunu kubwa sana na inatakiwa ilindwe. Huwezi kudai haki sehemu ambayo haina amani.Kingine CCM imezoea kuwalisha maneno watu, yaani ujinga wa CCM na chawa wao wanaulazimisha kwa taifa Zima.
🤣Yeye ndiye kuwahakikishia au wao ndio wamemhakikishia kutokutoka?
Hamiaminiki nyie , mtatatoka kama kawaBakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.