BodaBoda date-out or delivery?

Umenena vema
 
Tena wakati nasema hivi nilikuwa nakufikiria wewe niliwahi kuona umesema mahali kuwa kamwe huwezi kupanda boda. Ni kweli wengi wanajiendekeza tu ila kuna sehemu bila kupanda boda hutoboi
Kabisa
 
Ila wewe bwana...mimi hata sipo huko, unanijua mimi sipo hivyo. Hata siku ile nakumbuka nilikuambia never say never ukakaza ukasema huwezi hata iweje 😁 hilo la life and death situation ndio nalisikia leo
Sio wewe. Jamii kwa jumla. Life and
death, yeah. Ila hizi safari za kivivu hapana.
 
Out sio lazima upande usafiri wowote my friend. Out hakuna sehemu zimeandikwa kwamba ni maalum kwa out. Out unaweza tembea kwa miguu yako uende hata shambani huko uangalie mijusi juu ya mawe urudi nyumbani. Out hata ukiamua ukae uani kwako hadi jioni still ni out.
Kupanda gari au usafiri wowote ati ni out hiyo sio out bali ni kasafari kadogo. Out unaweza ukaenda hata hos iliyo karibu ukampelekea mgonjwa matunda na ukarudi home bado inakuwa out. Ou t sio usafiri. Kwanza mimi nikitoa watu out tunatembea barabarani ni kama tunaandamana yale maandamano ya jeshi la wokovu tunaenda popote tunakaa hayo mavumbi yanatuchapa tunarudi home tumeshba kila mtu anaoga anaingia kulala kaz kwisha. Na sio kuwapeleka sehem wanakula mavyakula mwisho wa siku unagharamika kuwatibu tena kisa out. Out yangu mimi inakuwa tofauti mfano kama jpil tulitembea kwenda kumsalimia bibi mmoja mze mtaa wa sita tulimpelekea zawadi wife wakamfanyia usafi kwa kumfulia hadi mashuka na watoto nao wakakaa nae hapo wakicheka mda ukaisha tukarudi
 
Safi sana kikubwa watu wametoka out
 
Safi sana kikubwa watu wametoka out
out nenda hata kwa bibi watoto wako wa karibu coz mtaan mjukuu hakosi bibi yake awe wa ukoo wa urafiki bado n bibi nenda kwake mkamsaidie hata usafi kidogo na kashopping kias mpikie huko huko mrudi kulala out tayari
 
Na baraka Juu unapata
 
Na baraka Juu unapata
habari ndio hiyo mtoto wetu. Gari pikpik uber ndege hizo sio za kwenda out bali ni kusafiri mnasafiri. Out peleka familia hata bondeni waone kenge live na sio wa kwenye tv. Wakirudi hapo wametembea wamechoka ni mwendo wa kuoga na kulala kesi baadae
 
Nimependa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…