Bodaboda anaswa akiendesha basi la abiria

Tàarifa yako ipo bias toa na majibu yake aliyotoa kuhusu leseni
 
Halafu zikitokea ajali za Mabasi wakafa abiria mnalaumu sio?

Unamtetea mtu anayebeba roho za watu bila kua na leseni?
Hukumbuki rubani aliejifungia kwenye cockpit n kubamiza dege mlimani huko German,kifo kipo Islael inwakmua watu bila kosa,huyo mwenye boda license Mimi nmpongeza sababu anajaribu fursa sio kulala wakati nchi inapigwa bei dp world na madeni ya kupikwa kimkakati,angalia nchi ina mashimo road zote wewe unaona Raha msng ww.
 
Kwavile umenitukana ngoja niende na wewe kwa lugha hiyo,

Wewe ni punguani usiyekua na akili timamu,mtu mwenye akili timamu hawezi kutetea mtu anayeendesha Basi la abiria bila kua na leseni,

Mifano yako uliyoitoa hapo inaonyesha kua wewe ni punguani mwenye matatizo ya afya ya akili.
 
Hivi kumbe kuna leseni zenye daraja moja tu!

Najua huyo wa pikipiki hupewa A na D.
 
Hukumbuki rubani aliejifungia kwenye cockpit n kubamiza dege mlimani huko German,kifo kipo Islael inwakmua watu bila kosa,huyo mwenye boda license Mimi nmpongeza sababu anajaribu fursa sio kulala wakati nchi inapigwa bei dp world na madeni ya kupikwa kimkakati,angalia nchi ina mashimo road zote wewe unaona Raha msng ww.
Kwa hiyo wewe unaona sawa huyo dereva wa bodaboda kukiuka sheria sio!!?? We una akili kweli kichwani au kichwa chako ni kufugia nywele tu? Ficha ujinga wako siku nyingine bana nyie ndio kunasiku mtatuletea msukuma mkokote atuendeshee ndege kwa akili yako na mfano ulioukariri kwenye stori yako hapo
 
Kwavile umenitukana ngoja niende na wewe kwa lugha hiyo,

Wewe ni punguani usiyekua na akili timamu,mtu mwenye akili timamu hawezi kutetea mtu anayeendesha Basi la abiria bila kua na leseni,

Mifano yako uliyoitoa hapo inaonyesha kua wewe ni punguani mwenye matatizo ya afya ya akili.
Nadhani tayari umemaliza,hivi huyo kijana angekuwa ombaomba sii ungesema tafuta kazi ufanye,sasa mwenzio kaamua kujilipua unalia,Kuna Uzi humu wakenya wanatusema tulivyo waoga hebu jiulize,kufanya service ya deni kubwa kama alilokopa mama ni kitu sahihi,ingekuwa UK huyu kizmkazi asingemaliza hata nusu saa vote of no confidence ingekula kichwa,unawekeza mkataba wa Bandari kwa miaka 100 hii ni low key,sasa Mimi namuunga mkono huyo Ponjoro wa bodaboda sababu he is trying his best level to savege his dinner table,ukienda Mexico huko kuna manati kubwa imetengenezwa ili kurusha drugs kuelekea USA watu wanatafuta Mkate kwa kila namna,sisi wananchi tunahangaika wanasiasa wanakopa kupitia Kodi ndio mana nikasema bora huyo Ponjoro bodaboda alieiona fursa.
 
Halafu ajali ikitokea tunasema kinafki "wameitwa nyumbani"

Hatuna utaratibu wa elimu ya udereva wala barabara za kwenda kasi tunayoenda, tuige mafunzo kwa nchi zenye mifumo.
 
Back
Top Bottom