Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,144
Kuna mijitu kichwani ina maviHalafu zikitokea ajali za Mabasi wakafa abiria mnalaumu sio?
Unamtetea mtu anayebeba roho za watu bila kua na leseni?
Kuna mijitu kichwani ina maviHalafu zikitokea ajali za Mabasi wakafa abiria mnalaumu sio?
Unamtetea mtu anayebeba roho za watu bila kua na leseni?
Kumbe mwamba huwa unamfatilia zu zu zu zuchuuuuNchi imefunguka kwelikweli, watu wanateleza tu. Kila kitu kimekuwa kamseleleko.
Kila idara imelegea tepetepe.
Madhara ya afande nilegezee kamba, ili niweze kukupanga afandeee!!!
mkuu,hakuna mtu hata mmoja katika nchi hii anayeweza kuongea na kuandika kiswahili kwa ufasaha.Mkuu Mwita Malanya hebu sema leseni na si reseni!!utani tu braza usiniibukie na panga!
Mkuu sijajua umezaliwa mwaka gani,ni kama vile hauna uzoefu wa maisha ya bongo.Hata kama angekua na D bado hana sifa ya kua dereva wa gari za Abiria.
Kwa hiyo sheria zifutwe?Mkuu sijajua umezaliwa mwaka gani,ni kama vile hauna uzoefu wa maisha ya bongo.
Kitu usichokijua madereva wengi wenye hizo leseni unazotaka wewe hawakupitia darasani wamezipata leseni kwa njia za panya na wanaendesha vizuri tu.
Bongo mtu kuwa na cheti au leseni sio guarantee kwamba kweli alifuzu hayo mafunzo labda nchi za watu wa Ulaya huko mtu akiwa na cheti au leseni inakuwa ni ya uhakika kwa asilimia 100.
Cc: Lucas Mwashambwa nchi imefungukaPolisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
Kiinglish hatariNadhani tayari umemaliza,hivi huyo kijana angekuwa ombaomba sii ungesema tafuta kazi ufanye,sasa mwenzio kaamua kujilipua unalia,Kuna Uzi humu wakenya wanatusema tulivyo waoga hebu jiulize,kufanya service ya deni kubwa kama alilokopa mama ni kitu sahihi,ingekuwa UK huyu kizmkazi asingemaliza hata nusu saa vote of no confidence ingekula kichwa,unawekeza mkataba wa Bandari kwa miaka 100 hii ni low key,sasa Mimi namuunga mkono huyo Ponjoro wa bodaboda sababu he is trying his best level to savege his dinner table,ukienda Mexico huko kuna manati kubwa imetengenezwa ili kurusha drugs kuelekea USA watu wanatafuta Mkate kwa kila namna,sisi wananchi tunahangaika wanasiasa wanakopa kupitia Kodi ndio mana nikasema bora huyo Ponjoro bodaboda alieiona fursa.
Lugha za watu achana nazo pqmbana na bill zako budaKiinglish hatari
Hili swali sistahiki kulijibu inabidi uulize viongozi wako wanaohusika kutunga na kusimamia sheria.Kwa hiyo sheria zifutwe?
Kosa lao kumkamata anae tumia leseni isio na kigezo?Hili swali sistahiki kulijibu inabidi uulize viongozi wako wanaohusika kutunga na kusimamia sheria.
Inafikirisha.Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
Hayo ni maigizo ndugu hawako serious,ukitaka kujua fuatilia hiyo kesi hadi mwisho uone kama watamfikisha mahakamani.Kosa lao kumkamata anae tumia leseni isio na kigezo?
Boda boda ni kazi ya laana ( Godbless Lema, 2023).Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
Leseni ni karatasi tu, angekuwa hajui kuendesha gari asingekamatwa gari ikiwa barabarani angekamtwa kwa kusabisha ajali. Unakuta mtu ana leseni yake miaka mingi anapoenda kurenew anabadilishiwa madaraja kwa sababu tu hana cheti cha VETA. Huu ni upuuzi kama upuuzi mwengine. Kuna Rubani huko South Afrika alirusha ndege akiwa na leseni fake mpaka amestaafu bila kusababisha ajali yoyote. Mwaka 2016 Inchini Kenya kuna kijana ambaye hakuwa na cheti wala leseni ya udakari alifanya upasuaji kwa waagonjwa 9 mmoja peke yake ndo alipoteza maisha nane wakapona matatizo yao. Lakini wa Mhimbili aliyekuwa na kila kitu akamfanyia mgonjwa operation ya kichwa badala ya mguu.Halafu zikitokea ajali za Mabasi wakafa abiria mnalaumu sio?
Unamtetea mtu anayebeba roho za watu bila kua na leseni?
Yule rubani alikua ni rubani wa siku zote, sema aliugua depressionHukumbuki rubani aliejifungia kwenye cockpit n kubamiza dege mlimani huko German,kifo kipo Islael inwakmua watu bila kosa,huyo mwenye boda license Mimi nmpongeza sababu anajaribu fursa sio kulala wakati nchi inapigwa bei dp world na madeni ya kupikwa kimkakati,angalia nchi ina mashimo road zote wewe unaona Raha msng ww.
Hapa tunajadili sheria inasemaje,huyo daktari wa huko Kenya kama alikua anajua kila kitu,kwanini hakua na leseni? Huko aliposomea hakupewa leseni yake au documents za kumtambua?Leseni ni karatasi tu, angekuwa hajui kuendesha gari asingekamatwa gari ikiwa barabarani angekamtwa kwa kusabisha ajali. Unakuta mtu ana leseni yake miaka mingi anapoenda kurenew anabadilishiwa madaraja kwa sababu tu hana cheti cha VETA. Huu ni upuuzi kama upuuzi mwengine. Kuna Rubani huko South Afrika alirusha ndege akiwa na leseni fake mpaka amestaafu bila kusababisha ajali yoyote. Mwaka 2016 Inchini Kenya kuna kijana ambaye hakuwa na cheti wala leseni ya udakari alifanya upasuaji kwa waagonjwa 9 mmoja peke yake ndo alipoteza maisha nane wakapona matatizo yao. Lakini wa Mhimbili aliyekuwa na kila kitu akamfanyia mgonjwa operation ya kichwa badala ya mguu.
Kwani kinachomtambulisha mbele ya sheria ni skills au leseni ya udereva? Polisi wa Barabarani wakikusimamisha hua wanauliza skills au leseni ya udereva?Kwani kinacho endesha basi ni leseni au skills za udereva?
Mahakani ndo sehemu pekee ambayo unaweza kujikuta umetuhumiwa kwa jambo ambalo hujafanya na ukweli ukawa nao wewe peke yako na Mungu kwamba hujafanya.Hapa tunajadili sheria inasemaje,huyo daktari wa huko Kenya kama alikua anajua kila kitu,kwanini hakua na leseni? Huko aliposomea hakupewa leseni yake au documents za kumtambua?
Mimi naongelea sheria inasemaje,hizo sababu ulizoziandika hapo,unaweza kwenda Mahakamani na kumtetea huyo mtuhumiwa kwa kutumia sababu hizo na akashinda kesi?