udereva sio vyeti mkuu.madereva Wangapi wenye vyeti wanapata ajari, hata hawa madereva wa mawaziri,na viongozi wa umma wanapata ajari!Kwavile umenitukana ngoja niende na wewe kwa lugha hiyo,
Wewe ni punguani usiyekua na akili timamu,mtu mwenye akili timamu hawezi kutetea mtu anayeendesha Basi la abiria bila kua na leseni,
Mifano yako uliyoitoa hapo inaonyesha kua wewe ni punguani mwenye matatizo ya afya ya akili.
Ajali na leseni havina mahusiano sana…udereva sio vyeti mkuu.madereva Wangapi wenye vyeti wanapata ajari, hata hawa madereva wa mawaziri,na viongozi wa umma wanapata ajari!
Hata kama angekua na D bado hana sifa ya kua dereva wa gari za Abiria.Hivi kumbe kuna leseni zenye daraja moja tu!
Najua huyo wa pikipiki hupewa A na D.
ndiyo mkuu,kuna madereva wengi mno wenye uzoefu mtaani hawana vyeti,wale waliopata vyeti kimchongo, (rushwa na kujuana) ndio wanaosababisha haya majanga. Turekebishe mfumo wa upatikanaji wa vyeti kwanza.Ajali na leseni havina mahusiano sana…

Kama nyingi mna akili kwanini mkubali mwenyekiti wa Bunge katiba katiba awe Rais,kwanini mkubali ccm iharibu mitaala kila Kona nyie mnagonga glass tuu,hebu amkeni bwana,acheni ujinga,in china kila mtoto ana ujuzi zaidi ya mmoja,kama ameweza kuendesha kwa leseni ya boda apelekwe mabivo akasome tour made course,don't you know kuwa anaendesha gari la abiria sabbu ana attitude yake na siyo karatasi that you call leseni,get to hell,ndo maana nchi inakopa huku ina migodi nyie mnagonga glass,it's a sht and insane.Kwa hiyo wewe unaona sawa huyo dereva wa bodaboda kukiuka sheria sio!!?? We una akili kweli kichwani au kichwa chako ni kufugia nywele tu? Ficha ujinga wako siku nyingine bana nyie ndio kunasiku mtatuletea msukuma mkokote atuendeshee ndege kwa akili yako na mfano ulioukariri kwenye stori yako hapo
Sasa unamtambulishaje kuwa ni bodaboda kama leseni ina madaraja mawili na hujamkuta akiendesha pikipiki?Hata kama angekua na D bado hana sifa ya kua dereva wa gari za Abiria.
Kama leseni ilikua na daraja D pia taarifa itakua si sawa kuletwa kwa namna hii.Sasa unamtambulishaje kuwa ni bodaboda kama leseni ina madaraja mawili na hujamkuta akiendesha pikipiki?
Ajali zipo,hilo wala halina ubishi,udereva sio vyeti mkuu.madereva Wangapi wenye vyeti wanapata ajari, hata hawa madereva wa mawaziri,na viongozi wa umma wanapata ajari!
Leseni ni karatasi tu ambalo hata wasio na ujuzi wanaweza kulipata. Wangapi wana leseni high class lakini wanasababisha ajali kwa uzembe? Leseni kuna watu wanapelekewa nyumbani ingali hata starter hawajui inapigwajeHalafu zikitokea ajali za Mabasi wakafa abiria mnalaumu sio?
Unamtetea mtu anayebeba roho za watu bila kua na leseni?
kuwa na reseni haimaanishi kuwa wewe ni dereva mzuri. Watu wanapeana reseni,watu wanapata reseni kwa rushwa.Ajali zipo,hilo wala halina ubishi,
Kwahiyo sheria ya Dereva kua na leseni iondolewe na kila mtu aendeshe mabasi ya abiria bila leseni?
Unafikiri ni kwanini serikali iliweka hii sheria kua Dereva lazima awe na leseni?
Hakika ni muhimu sana, ila hili la ku-rew kila baada miaka kadhaa nalo likoje?Ajali zipo,hilo wala halina ubishi,
Kwahiyo sheria ya Dereva kua na leseni iondolewe na kila mtu aendeshe mabasi ya abiria bila leseni?
Unafikiri ni kwanini serikali iliweka hii sheria kua Dereva lazima awe na leseni?
Kwani kinacho endesha basi ni lesen au skills?Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
Kwani kinacho endesha basi ni leseni au skills za udereva?Ajali zipo,hilo wala halina ubishi,
Kwahiyo sheria ya Dereva kua na leseni iondolewe na kila mtu aendeshe mabasi ya abiria bila leseni?
Unafikiri ni kwanini serikali iliweka hii sheria kua Dereva lazima awe na leseni?