Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,019
- 17,841
Tusikilizeni sana sisi mabodaboda maana sisi ni wakweli.
KabisaTusikilizeni sana sisi mabodaboda maana sisi ni wakweli.
Maono kwa mwanamke, umerogwa?!Na mungu akikupatia maono kuhusu uyo mwanamke ambae boda kasema je itakuaje?
Hahahaha!Japo siungi mkono udhalilishaji wa wanawake hii post imenikumbusha post ya kijana mmoja mkoani.alimpost mshkaji wake mtandaoni akiwa kwenye harusi kashikana na mkewe akaandika caption
"Kaka hongera kwa kuopoa ndala za chooni na kuziingiza ndani...siku nyingine ukija uwe unauliza wenyeji kwanza!
Nkabaki nawaza tu kizazi cha leo[emoji23][emoji23][emoji23]