boda-boda

mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,399
1,195
Duh!!!!
Sasa huu utakuwa umasikini au ujasiri !!
Naona hata usalama barabarani umepungua !!
Kumbe kuna dereva na abiria wawili, yaani mtu na ng'ombe !!
mimi nilidhani huyo mwenye ng'ombe ndie dereva, dah!
 

Dodoma one

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
326
195
Huyu jamaa aliyepakiwa naona anamdhalilisha ng"ombe mbona naona anamwingizia vidole kwa nyuma au!
 
Top Bottom