Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Wewe mwenye hilo bodaboda lazima utakuwa "filimasoni" tu..
Hahahahaahh nimecheka ile mbay leonajaribu kufikiria tu mwanaume kakaa nyuma ya hilo skeleton, kwa namna lilivyobong'oa sijui ataonekana kama analifanya nini!!!
hilo ni Skelatoni hakuan kitu hapowatu8 ataonekana kuna kitu analifanyia ana anaenjoy Nyuma ya hilo liskeleton
Kila kitu Filimasoni hahahahhWewe mwenye hilo bodaboda lazima utakuwa "filimasoni" tu..
Shetani hilo MkuuKweli mkuu hilo libodaboda mbona linatisha
Ni Kweli watakuwa wanaliogopa lakini halitembee barabarani linatembea kwenye hizo bustani maalumu si umeliona hapo lilipo mkuu?Hii ni noma kama inauzwa yakwangu yaa hii kiboko ya watoto wanaocheza barabarani wakiiona mbio
Hahahha umenichekesha na kucheka peke yake ni dawa hahhahhaahUkipata ajali likavunjika vunjika watu watakusanya mabaki kwa kudhani mlikuwa wawili na wote mtapelekwa Hospitalo.
Ni kweli ukikutana nalo kwenye giza utatoka mbio ile mbayaMhhhh ukikutana nayo kwenye giza unaweza kupiga mayowee
Unaweza kuupanda huu usafiri ukipewa mkuu?usafiri nimeukubali....
haliwezi kutembea barabara za kibongo ni mbaya zina mashimo ile mbayaKwa barabara zetu litapasua "sampo"
Hahhahah umejuaje kuwa anampumulia kisogoni?Anampumulia kisogoni mkuu!