Boda boda na wake zetu

MIHULU

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
490
Reaction score
701
Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye.

Wote ni watumishi.

Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home.

Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona kimya, uliona tabu kupiga? Akasema boda mwenyewe kamkuta njiani.

Simu yake ilikuwa tofauti, inaonekana amepigia boda na wamechati.

Niko down vibaya guys.

Nilikua close na phone balaaa.
 
Shida ni huo mstari kabla ya bracket
Boda wa mjini kwa siku anazungusha 50,000(analaza mpaka 35,000)
Gawanya zidisha hiyo ya mtumishi
 
Siku ya leo tulia kuwa mpole ili uweze kujua na kufahamu mengi. Huenda pia ni wasiwasi wako ila kama Kuna jambo kati yao utajua tu. Acha unyonge ongeza safari tano nitumie lipa namba nilipe bill.
 
Hili suala la boda boda kuwa na mazoea nao kiasi cha kupitiliza, watu wanawezajee?
Najua ni kurahisisha usafiri na mizunguko fulani, ila iwe kwa kiasi, na sio kupitiliza mipaka.

Kuna mate, nusu apoteze ndoa yake, kisa mazoea ya kiwaki na boda, afu sijui wanakua na mentality ya namna ipi, kwa kudhani kila wamzoeae bas anaingilika kirahisi, na hawajari kabisaa.

Siwezi kuwa na mazoea ya kupitiliza kwa boda, hata iwajee, ni wambea, wadaku, wakuda, wafukunyuku, waharibu ndoa na maisha ya watu. Etc.

Wengine wanawezajeee??
 
Naomba niwe boda wako.
 

Got dammit ,hao watu ni PASUA kichwa ,ukitaka uishi kwa amani fanya kama hauoni vile kinachoendelea...siku akijichanganya kwenye 18 unamrudisha kwao mazima.
 
Muangalie vizuri kichwani huenda hajasuka amebandika wigi, huo muda ambao alihitajika kuwa soloon itakuwa alikuwa geto kwa bodaboda, ila bodaboda aiseee siyo watu kabisa.
 
🥰🥰
Sio bodaboda tu, mwanaume yeyote usiye na mahusiano nae ya kimapenzi hutakiwi kuwa na mazoea nae.
 
Kwahiyo Saloon, amesuka au hajasuka?.

Huoni alipokupa Hela ujaze mafuta, kwamba umfate atakapokia amemaliza, lilikua ni Shariti Hilo amekupa?.

Akijua umefutria Pesa ya mafuta, ila huwezi kumfata mpaka yeye amalize mambo yako.

SO kutombwa, kamalizaz ndo kakutext .


Siku ingine akikupanga hivo ,kubali alafu baada ya Nusu saa -lisaa limoja ,Rudi Saluni, utamkuta hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…