Boda boda kila siku watu wanapata ajali Dar

Boda boda kila siku watu wanapata ajali Dar

Ikiwa duniani hamna mungu na hatujui tuendako kama wewe tu ukilala unakua hujui utaota nini,kama ni ndoto nzuri,huoni kufa ni kama kulala tu manaa hujui kinachotokea
Hata kama kufa ni kama kulala tu, huko kulala kwenyewe ukimlazimisha mtu anayetaka kucheza mpira aende kulala ataona hilo jambo ni baya.

Kwa hiyo tatizo hapa si kwamba kufa ni au si kama kulala.

Tatizo watu wanataka kuishi hawataki kufa.

Mtu anayependa kunywa bia asipotaka kufa kwa sababu anajua akifa hatakunywa bia kitotaka kifa kwake kitakuwa na mantiki.
 
Wanasiasa ndio wamewapa sana kichwa hawa jamaa, matokeo yake wanajiona wako juu ya kila kitu.

Nje ya hizi ajali wanazosababisha, wanaua , kuumiza watu na kuharibu mali hasa pale wanapogongwa na gari hata kwa makosa ambayo ni yakwao wenyewe..

ndani ya viunga vya Mogadishu - Somalia.
 
Mjivuni naomba Mungu akuongezee hekima na busara na Uombee kizazi chako wasije wakakosa ajira.
Kwahio bodaboda ndio ajira ambazo kizazi chako kinategemea? Hizo ni widow maker na mashine za kutengeneza vilema. Lema alisema kazi yq laana. Mjivuni mwenzangu huyo. Haya jinyonge.
 
Yani nyie Bodaboda ndio mtulaze saa 12 jion

Hizi ni zama nyingine jaribuni
Mkuu tatizo ni nchi yetu kuwa na upungufu wa ajira kwa vijana na hata miaka ya nyuma kabla ya boda boda kumbuka vijana waliamua kujiajiri kwenye Daladala za baiskeli. Kwa hiyo tusilaumu boda boda na mkiwalaumu au kutaka kusitisha hiyo ajira Yao je mmewawekea mazingira yapi baada ya kuacha kazi ya boda boda? Au tuhamie kwenye ujambazi muanze kulala saa 12 kama kipindi kile cha panya road.

Alafu msisahau sisi boda boda tuna vikosi vyetu vya majina ya 32 na 45 sasa jichanganyeni tuache boda boda tuunganishe vikosi kama hamjaanza kulala saa 12

Rural areas bado changamoto ni nyingi
Mada ni ajali dar es salaam
 
Bodaboda
 
Attachments

  • Screenshot_20261104-233337.png
    Screenshot_20261104-233337.png
    1.3 MB · Views: 5
Ni hatari sana! Hapa nilipo nimetoka kwenye msiba wa kijana wetu aliyefariki kwa boda Dar!
 
Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?

Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?
sera mbovu za usafirishaji, yaani hii nchi Kila jambo wanaliendesha kisiasa kisa kuwafurahisha wapiga kura wao, wanasahau kuwa nchi ina misingi yake ya Sheria na taratibu ambazo zinapaswa kufuatwa bila kujali mahaba na mapenzi Kwa wananchi wako waliokupigia kura.

wangekuwa siriasi kabisa, daladala+mabus ya mwendo kasi yalitosha kumaliza kabisa tatizo la usafiri, vile vile sheria kali kwa wasiofuata sheria ikiwepo umiliki wa hovyo vya moto vibovu mijini, maeneo sahihi ya parking, taratibu sahihi za utoaji wa leseni ya udereva ikizingatiwa na mafunzo sahihi kwa madereva wote wanaojihusisha na biashara hii ya usafirishaji.

tutaendelea kuteseka mpaka akili zitakapotujia maana nchi tunaiendesha kwa mazoea.

huwa nashangaa sana kuona bodaboda&bajaji hazisimami kwenye mataa yanapoonesha Stop signal, labda nikadhani mimi mshamba hilo ni kwaajili ya magari pekee, mpaka nilipokuja kujua kumbe tuna tatizo kubwa la mazoea na uvunjwaji wa Sheria wa makusudi huku tukichukulia poa, kwa hili acha tuteseke tu
 
Mkuu ilikuaje mtu mzito namna hiyo kutumia usafiri wa boda boda ,alikosa hata ka starlet ka mkopo
Bodaboda sio lazima upande. Unaweza kuwa unatembea njia ya watembea kwa miguu ghafla anatokea kusikojulikana anakuzoa! Wameua watembea kwa miguu wengi sana. Eti ajira!
 
Kuingizwa kwa boda na kuruhusiwa kuwa chombo cha usafiri ni siasa mbovu ambazo naamini yule jamaa akiangalia vifo na watu waliokata miguu anaumia roho sana.

Wanatumia hawa watu kama mtaji
 
Bodaboda sio lazima upande. Unaweza kuwa unatembea njia ya watembea kwa miguu ghafla anatokea kusikojulikana anakuzoa! Wameua watembea kwa miguu wengi sana. Eti ajira!
Wanaogongwa wakiwa wanatembea ni wengi kuliko waliopanda.
Doctor sokile huyu jama alikuwa mtembea miguu.
Siku hizi boda wanapita wrong site, kama njia ni ya kupanda tuu, wao wanasha sasa kama una mazoea ya kuangalia upande mmoja , basi angalia pande mbiliu.
 
Hatuna tofauti na nchi iliyo kwenye vita
 
Attachments

  • downloadfile-11.png
    downloadfile-11.png
    37.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom