BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
So sad. R.I.P Christina. Utajiri wote aliochiwa na mama yake hata ajaufaidi maskin cjui nani atauridhi sahiv kichaa Bobby au Houston family.
Dah! Kweli unga mbaya sana.
Masikini...she didn't get the chance to enjoy her mom's fortune. RIP girl.
kwani amekufa kwa ugonjwa gani hasa?
Unga au madawa ya kulevya.
Hivi ni kwa nini mtu akishakuwa addicted huwa anapenda bathtub ( kwa majuu lakini maana hawa wa huku kwetu hawataki hata kuoga?