Huyo ni super star, lazima awe na pisi kali.
Huyu jamaa ndo alitaka kuwa president wa ug.
unamuonaje yule mwamba?Unataka kusema Marehemu Deo Filikunjombe alikua mhuni?



Ipitishe kwa chiniUkiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hebu ww gombea mkuu cheo cha urais tofaut na ccm kama hujapata asilimia 0.5 mwenzako kapata 34%Wapinzani hawajawahi kuwa serious, ety naye alitaka kuwa rais
Sio huko tuu yaani kwa kifupi wagombea wote wa upinjani hata wa hapa bongo wake zao ni wazuri sana.
Sky Eclat Dada uzuri /beauty is not a concept! It is relative.. Concepts are public, not private. "My Mother" is not a concept. Though beauty is not a concept, but a beautiful girl is appreciated by many! Take it easy Sky, Najikumbusha how to teach concepts from Prof Ishumi enzi hizo early 1980s!
Nani ana sifa angalau ya kuwa rais kati ya Jiwe na Bobi.Wapinzani hawajawahi kuwa serious, ety naye alitaka kuwa rais
Swali muhimu Sana hiliNani ana sifa angalau ya kuwa rais kati ya Jiwe na Bobi.
Magufuli, sio tuu angalau bali anafaa kabisa kuwa raisNani ana sifa angalau ya kuwa rais kati ya Jiwe na Bobi.
Jiwe anafanya nini ambacho mtu yeyote hawezi kukifanya? ambacho Bobi Wine hawezi kukifanya....Swali muhimu Sana hili
Huyu jamaa atuelezee vizuri hapa
Mh! exceptional qualities alizonazo ni zipi ambazo Wine hana au mtu yeyote tanzania hana!Magufuli, sio tuu angalau bali anafaa kabisa kuwa rais
Mbona wengi walitabiri lowassa lkn hakuna kitu.? Sio kila mtu anakuwa rais tuu, mm hata nikigombania urais kupitia CCM bado ntapigwa za uso.Hebu ww gombea mkuu cheo cha urais tofaut na ccm kama hujapata asilimia 0.5 mwenzako kapata 34%
Jibu lako lipo kwenye katiba inayosema kuhusu vigezo vya kuwa rais, pia kuna uchaguzi wananchi wataamua huko. Kwahy unaweza ukawa na sifa lkn wananchi wakakukataa.Mh! exceptional qualities alizonazo ni zipi ambazo Wine hana au mtu yeyote tanzania hana!