Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 489
- 700
Umetoa hili jibu ukiwa umeshamaliza kuoga au ndo umekurupuka na mipovu yako machoni na masikioni.Magufuli, sio tuu angalau bali anafaa kabisa kuwa rais
Umetoa hili jibu ukiwa umeshamaliza kuoga au ndo umekurupuka na mipovu yako machoni na masikioni.Magufuli, sio tuu angalau bali anafaa kabisa kuwa rais
HahahahahaIpitishe kwa chini
Ukiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app



kupakana mafuta tena!!!!Labda library ya mkeweUkiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hata Jiwe ana mke mzur sanaNani ana sifa angalau ya kuwa rais kati ya Jiwe na Bobi.
Na wananch na katiba yao wanaweza kukubali lkn chama kikakukata, ref;MamviJibu lako lipo kwenye katiba inayosema kuhusu vigezo vya kuwa rais, pia kuna uchaguzi wananchi wataamua huko. Kwahy unaweza ukawa na sifa lkn wananchi wakakukataa.
Hapo sasa ndo mwenye nguvu ataongezewaNa wananch na katiba yao wanaweza kukubali lkn chama kikakukata, ref;Mamvi
Bado nimelala, ila mwisho wa siku Magufuli ndie raisUmetoa hili jibu ukiwa umeshamaliza kuoga au ndo umekurupuka na mipovu yako machoni na masikioni.
Wasanii wetu hao verse zaokupakana mafuta tena!!!!


Sana tena yuko naturalHata Jiwe ana mke mzur sana
Saula...Ipitishe kwa chini

Jinga sana misanii yetuKwa ccm Hata akiwekwa the 5 star hotel anashindaMbona wengi walitabiri lowassa lkn hakuna kitu.? Sio kila mtu anakuwa rais tuu, mm hata nikigombania urais kupitia CCM bado ntapigwa za uso.
SIO KIDOGO AISEE!!Unataka kusema Marehemu Deo Filikunjombe alikua mhuni?
Ishu ni hela tu ukiwa nazo lazima upate pisi kali au nasema uongo ndugu zangu?Unataka kusema Marehemu Deo Filikunjombe alikua mhuni?
Kwani umeona ana mapungufu gani? Hivi unajua kama siyo kura za kwenye mabegi sasa hivi angekuwa Rais mteule?Wapinzani hawajawahi kuwa serious, ety naye alitaka kuwa rais
Hivi mnahisi president lazima aweje? Kuna mtu alitoka udj hadi raisi huko visiwani au mnajidai hamjui? Mmekariri raisi lazima awe mzee halafu ujanani lazima awe alikuwa anavaa misuti mikubwaaaWapinzani hawajawahi kuwa serious, ety naye alitaka kuwa rais
Kumbuka katiba ya kwao ilimruhusu ndiomaana tume ikampitisha kuwa mgombeaJibu lako lipo kwenye katiba inayosema kuhusu vigezo vya kuwa rais, pia kuna uchaguzi wananchi wataamua huko. Kwahy unaweza ukawa na sifa lkn wananchi wakakukataa.
Ukiona mtu amekuwa na cheo flan bc ujue hakubahatisha, ishu ya dj kuwa rais sishangai mana kama sifa anazo atapataHivi mnahisi president lazima aweje? Kuna mtu alitoka udj hadi rahisi huko visiwani au mnajidai hamjui? Mmekariri raisi lazima awe mzee halafu ujanani lazima awe alikuwa anavaa misuti mikubwaaa
Bc mngeandamana ili kuonyesha dunia kuwa mmeibiwaKwani umeona ana mapungufu gani? Hivi unajua kama siyo kura za kwenye mabegi sasa hivi angekuwa Rais mteule?