Bob Wine ana mke mzuri sana

Bob Wine ana mke mzuri sana

Bc mngeandamana ili kuonyesha dunia kuwa mmeibiwa
.
JamiiForums34820377.jpg
 
Ukiona msanii ana library ya vitabu basi ujue huyo upstairs yuko vzr
Syo wasani wengine sjui wanaimba inama nkuchomeke,tingisha nkupake mafuta [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Umeua bendi mkuu...
Nimecheka sana kwa hii comment yako.
 
Mngeandamana ndo ungejua ujui, mwanaume mzima unapambania tonge la mwanaume mwenzako asiyekujua ww nani.! Mm sijawahi kupiga kura na wala sitokaa kupiga kura so nyie endeleeni tuu na siasa zenu
Wewe kinachokuwasha nini mbona unakuwa kama changudoa?
 
Mngeandamana ndo ungejua ujui, mwanaume mzima unapambania tonge la mwanaume mwenzako asiyekujua ww nani.! Mm sijawahi kupiga kura na wala sitokaa kupiga kura so nyie endeleeni tuu na siasa zenu
Kitendo cha kucomment hapa tayari umeandamana kuonyesha hisia zako ziko wapi, na tupo tunaokudharau kama wewe unavyowadharau hao wenye nia ya kuingia mtaani
 
Kitendo cha kucomment hapa tayari umeandamana kuonyesha hisia zako ziko wapi, na tupo tunaokudharau kama wewe unavyowadharau hao wenye nia ya kuingia mtaani
Anaaibisha ukoo.Mama yangu anajina hilo la mwisho hadi sitaki kusikia huyu creature!
 
Hivi mnahisi president lazima aweje? Kuna mtu alitoka udj hadi raisi huko visiwani au mnajidai hamjui? Mmekariri raisi lazima awe mzee halafu ujanani lazima awe alikuwa anavaa misuti mikubwaaa
Mkuu! hili mbona kama dongo kwa mzee wetu ? [emoji28][emoji28]
 
Msaada picha kwangu azifunguki nimwone mrembo wa msela [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom