Bob Marley nusu kwa nusu

Bob Marley nusu kwa nusu

Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.
Ukiondoa miujiza, na tofauti za rangi na za kifamilia, labda na kuzaa watoto, ipi nyingine ni tofauti baina yao?
 
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
Kwani hata Yesu mwenyewe enzi za uhai wake alikuwa akiitwa YESU? Nae alikuwa aliishi simpo tu ktk usimpo wote, ndo maana watu hawakuwa wakimhofu kivile.
 
Hapana, hakusema hivyo, bali amesema Yesu ni "NENO", NA ni Neno la kiroho, yule wa Israel ni umbo tu lilimbeba, hivyo angeweza kubebwa pia na umbo lingine ktk kufikisha ujumbe au Kweli za Mungu. Mi nadhani pia Budha alikuwa ni Yesu wa kihindi, wanafanana na wakiisrael sana toka kuzaliwa kwao na mahubiri yao.

Asante sana mkuu
 
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
Wala si lazima kwa jina la Yesu, ni kanuni tu zinazotumika hata bila kutaja jina lolote, mababu vijijini huyatoa kwa majina ya mababu zao wa kale. Waislamu nao huyatoa kwa jina la Yesu? Kuna kweli iejificha, tuitafute.
 
Hivi huyu Bob hata kama ndio half cast sijui inamaa alikuwa muafrika? Kwa nini useme ni mtume wa Afrika?
 
Kwasababu alipinga uonevu wa aina yoyote kwa binadamu. Hasa uonevu wa mtu mweupe kwa mtu mweusi mkuu. Na pili neno lake ni neno zuri lenye hope ya kipekee kwetu Afrika
 
Vitu vikiwa viwili, au watu wakiwa wawili lazima wana utofauti mkuu. Yesu ni neno na Bob nae ni neno la kimataifa kupitia music. Sina ushaidi kama kulikuwa na Yesu ila nina ushaidi Bob Marley alikuwepo Duniani kupitia sauti katika mimbo yake.
Ndio kitu gani hicho?
 
Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.
Word.
 
Bangi ni nzuri sana ila ni mbaya sana ikitumiwa na wenye vichwa vidogo madhara
yake ndio kama haya
 
Wala si lazima kwa jina la Yesu, ni kanuni tu zinazotumika hata bila kutaja jina lolote, mababu vijijini huyatoa kwa majina ya mababu zao wa kale. Waislamu nao huyatoa kwa jina la Yesu? Kuna kweli iejificha, tuitafute.
Ukiweza kuyatoa kwa jina la Bob Nesta Marley utakuwa umenithibitishia kuwa Yesu anawezakuwa Marley. Huo nimetolea mfano halisi kwa maisha ya sasa maana mtoa post anadai haamini ktk story anazosikia kuhusu yesu.
Kuna kutoa mapepo kwa njia za giza pia ndo maana nimejaribu kuwa specific maana hata waganga pia huyatoa.
 
Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.

Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.

Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.

Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.

Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.

Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.

Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.
Yaani ni jani/herb tu inayokufanya useme haya...dah kaka umelanduka vibaya
 
Afrika Unite mpaka leo hii huu wimbo nautafakari sana tena zaidi ya sana no woman no cray hizi nyimbo mbili kwakweli huyu jamaa alikua na akiri gani me sijawai kulia mama angu alipo fariki nililia kama mtoto R I P mama Bob Marley
 
Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.

Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.

Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.

Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.

Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.

Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.

Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.
kwani viroba vinapatikana jamani?
 
Waungwana naomba mnielewe, Chupa ya soda ikiwa tupu inaitwa chupa ya soda. Ikiwa na soda chupa tupu uitwa Soda.

Bob amejaa neno la Yesu na la kinabii hivyo sio mbaya kumwita Yesu wa Afrika kwa sababu Bob alitangaza UPENDO. Ndio maana mpaka leo mziki wake unaishi na una eleweka Duniani kote.
 
Back
Top Bottom