Bob Marley nusu kwa nusu

Bob Marley nusu kwa nusu

Kuna Yesu wengi hata kwenye maandiko, matendo ya mitume unakutana nae mmoja alikuwa, nabii wa uwongo, mchawi na jina lake bar-yesu ko sinashaka kumuita bob yesu kwa upande wako.
 
Yesu wa wavuta bangi, akili zako robo wewe.... Bob alikuwa mtu mwema sawa lakini matendo yake unavyoyasoma na unavyomsoma yesu katika biblia unawezayalinganisha. Au unasikiliza viclip na nyimbo zake ndo unaona ushamaliza kila kitu. Acha bangi za kishamba wewe..
Mimi ninaishi na marasi kibao, bangi sana lakini hawana mawazo ya kipuuzi kama yako.

Asante mkuu, lakini kila mtu amebalikiwa uwezo wake wa kufikiri ila watu wanafiki wana uwezo wao, na uwezo wao ni huo kama wako wa kukariri maisha na story zisizo sadikika.
 
Naamini kihisia na kiimani mfuu, maana toka alipo teswa mpaka leo yamebaki makapi katika neno lake.

Lakini neno la bob lipo na sauti yake ipo na hata picha na watu walio kuwa nao wapo na isitoshe bob ni mfalme wa Afrika.
Kuna kitu umekula kikikata utakaa sawa!
 
Trust me kwenye Bible ni kitu kimoja tu cha kuamini, nacho ni Amri kumi za Mungu. Na Amri zote zimebebwa na UPENDO. Mtume wangu au Yesu wangu Bob marley alisisitiza Upendo

Kwenye Bible vingine vyote vina mashaka na ukizingatia wasaliti wa pesa walikupo kama kina Yuda, je wasaliti wa kubadilisha maneno au ujumbe?

Kuwa huru kifikra changanua mambo hata wewe unaweza kuwa Nabii au Mtume, kwanini uzidiwe kete kifikra mkuu?

My choice Church ni neno na mimbo ya Jesus Bob Marley.
 
Asante mkuu, lakini kila mtu amebalikiwa uwezo wake wa kufikiri ila watu wanafiki wana uwezo wao, na uwezo wao ni huo kama wako wa kukariri maisha na story zisizo sadikika.
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwacho.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.
 
Trust me kwenye Bible ni kitu kimoja tu cha kuamini, nacho ni Amri kumi za Mungu. Na Amri zote zimebebwa na UPENDO. Mtume wangu au Yesu wangu Bob marley alisisitiza Upendo

Kwenye Bible vingine vyote vina mashaka na ukizingatia wasaliti wa pesa walikupo kama kina Yuda, je wasaliti wa kubadilisha maneno au ujumbe?

Kuwa huru kifikra changanua mambo hata wewe unaweza kuwa Nabii au Mtume, kwanini uzidiwe kete kifikra mkuu?

My choice Church ni neno na mimbo ya Jesus Bob Marley.
Bob alikuwa mkristo
 
Nakubaliana na wewe kuwa wewe siyo mnafiki sema tatizo lako ni kupotokwa kwa kujaribu kurise vitu ambavyo huna research ya kujiridhisha zaidi ya makadilio mafupi yanaoendana na uwezo wako wa kufikiri na kuamini. Mimi nawezakuwa ni mnafiki kwako kwa fikra zako maana wapo wanafiki pia wa dini ambao hutetea kitu wasichoishi kwao.
Lakini nakuhakikishia kuwa unajaribu kufananisha vitu ambavyo hukustahili hata kufikiria hivyo.
Nakupa mfano mmoja..
Makanisani watu wanatoa mapepo kwa kutamka jina la yesu wa mbinguni je wewe can u cast out the demons kwa kutumia bob marley? Kwa nini unamfananisha na yesu? Ndo maana nakwambia una akili za kibangi.

Hayo mapepo tunayo Afrika tu mkuu? Makanisani sindio wanafiki number one?

Brother to be honest wewe unaishi kwa kukalili, sipo kibishani ila napenda tuwe huru Kifikra.

Huwezi kwenda kwa Mungu kwa kumtegemea mtu ila kwa wewe kujiweka tayari, hasa kujiweka tayari kifikra kwa kuwa huru.

Hata wewe unaweza kuwa Yesu kwa sababu, hata Yesu unaemjua inasemekana alikuwa neno kabla hajawa Yesu unaemjua chamsingi ni kujaza neno upendo katika moyo wako ili ubehue upendo kama Mtume Yesu Bob Marley.
 
Kwa hiyo unataka kusema huamini uwepo yesu?
Hapana, hakusema hivyo, bali amesema Yesu ni "NENO", NA ni Neno la kiroho, yule wa Israel ni umbo tu lilimbeba, hivyo angeweza kubebwa pia na umbo lingine ktk kufikisha ujumbe au Kweli za Mungu. Mi nadhani pia Budha alikuwa ni Yesu wa kihindi, wanafanana na wakiisrael sana toka kuzaliwa kwao na mahubiri yao.
 
Back
Top Bottom