kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Yes Bob Marley ni mtume Mwafrika mwenye unabii na utume wa kweli kupitia mimbo yake inayoishi daima hisiyo chakachuliwa.
Kwa mujibu wa biblia Yesu ni neno, hapo mwanzo neno liliishi kwa baba Mungu, kwa mantiki hiyo Bob ni neno tamu lenye maana, lenye kuishi na lisilo chakachuliwa daima.
Tafadhali kama ntawakwaza ila naomba nitangaze leo Bob marley ni Yesu wangu, bob ni mchungaji wangu na bob ni mtume pure wa mwenyezi Mungu.
Naandika yote haya kwa sababu Bob ni Half caste, hivyo ni mtume mwenye matabaka ya watu wote Duniani, weusi kwa weupe, na pili Hayati Bob Marley mwaka huu anatimiza miaka 36 toka atutoke Duniani, na papo hapo aliishi Duniani kwa miaka 36.
Tafadhali tusikilize mimbo yake kwa umakini huyu Jesus wetu, mwenye hekima za kipekee Afrika na Dunia yote.
Na kwa wajasiliamali mnaweza kufanya jambo la aina ya kipekee kufanya michakato kupitia brand ya bob Marley sio siri mtatengeza pesa za kutosha maana Afrika hatuna cha kujivunia zaidi Mtume Bob Marley.
Weekend inaanza Peace & Love kwa watu wote, na sio mbaya ukichoma moja special kwa Bob Marley.