Bob Marley kaonekana kwenye ndizi

shiddi

Member
Jun 12, 2016
16
13
b297de5ddc2c1f7dd3d948438b6b764a.jpg
 
sijui kimetokea nini kwetu wa tz. atujadili bajeti au madawati tumebaki kujadili nani ametokea kwenye mmea gani.
yote ni matokeo ya kutojishughulisha. Sidhan kama mtu mwenye shughuli zake anaweza kugundua kitu kama hicho. Bila shaka ugunduzi huo umegunduliwa na vijana washindao vijiweni.
 
yote ni matokeo ya kutojishughulisha. Sidhan kama mtu mwenye shughuli zake anaweza kugundua kitu kama hicho. Bila shaka ugunduzi huo umegunduliwa na vijana washindao vijiweni.
kukata tamaa na kutegemea miujiza pasipo kujishughulisha ndio inaleta matokeo kama haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom