Mkwaju Ngoma
Member
- Feb 26, 2015
- 95
- 21
Hao wote totoz maskini mafanikio Yana gharama yake. Kwanza unavalishwa hereni moja then ya pili halafu kipini halafu mkufu then make up. Basi wamekutafuna
Kuimba kunamkaribia mwanamke zaidi hivyo hatuwa moja kumkaribia ndio kupata mafanikio.
Kuimba kunamkaribia mwanamke zaidi hivyo hatuwa moja kumkaribia ndio kupata mafanikio.
Mkuu aliyekwambia huyu Mwanaume nani? Acha kutuzalilisha having to balls between your legs haitoshi kuitwa Mwanaume.Mwenyewe BOB Junior akikusikia umemfananisha na Mwanaume atakushtaki