Boas anacondas ndio nyoka mkubwa sana duniani

Boas anacondas ndio nyoka mkubwa sana duniani

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1403765271.287844.jpg
attachment.php

Joka hili ndio joka kubwa sana katika dunia hii, alionekana na kuuawa huko Kusini Mashariki mwa Malasya nyoka huyo (giant snake) alikuwa na uzito wa kg 300 urefu 55feet, 16.7meters likiwa na umri wa miaka 140.

Mtu aliemgundua nyoka huyo alipatwa na mshituko wa moyo na alifariki baadae. Bulldozer ndio lilitumika kumnyanyua nyoka huyo.
 
Kamilisha uzi wewe kwa mfano chakula chake kikuu ni nini uzazi,walilikamata vipi na vitu vingine kibao.
 
Acha kupenda vya bure wewe Google uongezee Uzi sio kulaumu bila sababu

Huko google ndio unalipia sio? Peleka ukilaza wako kule mtu anapotoa habari nzuri kama hii inatakiwa imvutie kila msomaji na sio inakuja kama news arlet au muhtasari.
 
attachment.php

joka hili ndio joka kubwa sana katika dunia hii, alionekana na kuuwawa uko kusini masharikia mwa malasya nyoka uyo (giant snake) alikuwa na uzito wa kg 300 urefu 55feet, 16.7meters likiwa na umri wa miaka 140 , mtu aliemgundua nyoka uyo alipatwa na mshituko wa moyo na alifariki bahadae, billdozer ndio lilitumika kumnyanyua nyoka uyo

Kwenye picha anaonesha ni mkubwa kuliko hizo kilo 300, alikuwa anafanya "diet"?
 
Wachina lazima wameomba tenda ya kumnunua nyoka huyo ili awe kitoweo!
 
Sasa walimuua wa nini jitu limeishi miaka 140 halijamdhuru mtu. Itakua kilo elfu 3 sio mia 3.
 
attachment.php

joka hili ndio joka kubwa sana katika dunia hii, alionekana na kuuwawa uko kusini masharikia mwa malasya nyoka uyo (giant snake) alikuwa na uzito wa kg 300 urefu 55feet, 16.7meters likiwa na umri wa miaka 140 , mtu aliemgundua nyoka uyo alipatwa na mshituko wa moyo na alifariki bahadae, billdozer ndio lilitumika kumnyanyua nyoka uyo

hahahaha..aliyemgundua alikuwa na ugonjwa wa moyo baadae??? acha fix..lol
 
Sasa walimuua wa nini jitu limeishi miaka 140 halijamdhuru mtu. Itakua kilo elfu 3 sio mia 3.
Mijitu mingine bwana! yaani baada ya kumuuliza matukio ya miaka 140 iliyopita wao wanaamua kumuua shahidi pekee waliyemwona!
 
Back
Top Bottom