sita wa nini watatu eti mbona gunia la kilo mia la mahindi hunyanyunyuliwa na mtu mmoja.
wanaume sita wote wa nn? makuli wawili tu wa kariakoo shimoni wanabeba mzigo huo
Naam, kasome kuhusu relativity.
yaani vp tamuu au?Hiyo nyama yake sipati picha.
Acha kupenda vya bure wewe Google uongezee Uzi sio kulaumu bila sababu