Boas anacondas ndio nyoka mkubwa sana duniani

Boas anacondas ndio nyoka mkubwa sana duniani

watu mnajua kupotea sihaba.

Wwhaoo!
Bhaabooo!
My IN - LAW ! Angel Nylon !
Haa cheichei !
Za siku Bibi wewe? Ni kweli nimepotea! Na kinipotezacho ni humu foramuni yale ya raha nilokua nikiyapata humu now days hayapo tena !
Haya jamaa hajambo?
Mwatunyima nini Unguja ?
 
Last edited by a moderator:

anakunyima kumwagiana tindikali
 
Last edited by a moderator:
Tafuta movie ya Anacondas utayaona jinsi yalivyo makubwa, yanavyotembea/ kimbia na yanavyouwa
 
Huko google ndio unalipia sio? Peleka ukilaza wako kule mtu anapotoa habari nzuri kama hii inatakiwa imvutie kila msomaji na sio inakuja kama news arlet au muhtasari.

Kilaza wewe acha kutoa povu. Unapenda kutafuniwa eeeh..... Nenda kasearch huko.....
 
Back
Top Bottom