DOKEZO BM Coach T816 EED - LATRA ichukue Hatua Kali!

DOKEZO BM Coach T816 EED - LATRA ichukue Hatua Kali!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe tangu mwanzo wa safari ulishaanza kulalamika. Umelalamika kuchelewa kufika Moshi huku ukijua kabisa barabara ya Moshi - Arusha kuna sehemu ukarabati unaendelea kati ya USA na Bomang'ombe. Safari ya Arusha Moshi kwa sasa ni masaa mawili kwa basi. Umeenda mbali sana kwa kudhani anguko la Esther na BM lipo karibu kitu ambacho ni kigumu mno. Kwa hiyo ruti hao Esther na BM wanakimbiza vibaya mno. Acha kulalamika hovyo
 
Hii ni moja ya thread ambayo, Wadau hawajaside kabisa na mtoa mada...
 
Back
Top Bottom