Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,374
- 26,982
- Thread starter
- #21
Narudia kwa mara ya tatu, Abiria walishushwa, wakaambiwa wasubiri shuttle huku mabegi yai yakiondoka na basi kuelekea Mbezi then shekilango, hivyo hata kama una usafiri wako priovate, lazma uende shekilango kufuata mabegi.Sheria ni kushusha Magufuli Terminal, kupelekwa Shekilango ni favours tu. Nimetoka moshi last week, tunafika Kibo watu wanakuwa wakali eti watafutiwe usafiri kwenda Gombz, Mbagala na Chanika.
Sema Esther, BM na Ratco wana Shuttle za kusaidia wateja wao, ila sio lazima, ni kuvutia biashara tu.
Nimesema customer care mbovu kwakuwa kondakta hakutangaza awali, alisubiri gari ipo wrong parking pale kibo complex anawaambia watu washiuke haraka na mabegi watayakuta shekilango, mkuu mbona mgumu sana kuelewa au mtoto wa uzeeni nini?