Bluray yuko wapi?

Wow..I guess in this reincarnation even Kiranga don't know the whereabouts of Bluray..Lol

Pamoja na kumkimbiza Bluray hapa siku nyingine angalia pia na grammar yako kabla ya ku post.Hapo nilipo bold ilibidi uandike doesn't na siyo dont.
 
Pamoja na kumkimbiza Bluray hapa siku nyingine angalia pia na grammar yako kabla ya ku post.Hapo nilipo bold ilibidi uandike doesn't na siyo dont.

Najua hilo na niliandika hivyo kwa makusudi tu. Hood grammar...
 
Si kweli kwamba Omega hajui English grammar, alikuwa anaongea Negro dialect tu.

Omega,

No Negro dialects up in heeeereee.

Huo ndiyo ujinga wenyewe sasa.Yaani hata kama unajua kiingereza safi kwavile mnugu anaongea hivyo basi nawewe unafata mkumbo?Hata muwaige vipi wenzenu hawawataki na hamtaweza kufanana nao.
 
Huo ndiyo ujinga wenyewe sasa.Yaani hata kama unajua kiingereza safi kwavile mnugu anaongea hivyo basi nawewe unafata mkumbo?Hata muwaige vipi wenzenu hawawataki na hamtaweza kufanana nao.

Unaona sasa ulivyo mshamba. Sio wanugu tu wanao mangle english grammar. Kama umewahi kukutana na rednecks utajua kuwa nao grammar inawapiga chenga vile vile (hasa maeneo ya kusini mwa Marekani).

Na hakuna mtu anayetaka kufanana na wanugu. Saa ingine watu tunaandika hivyo kuleta madoido tu. Hatuko bungeni hapa kufanya kila kitu kuwa serious
 
Kiingereza hakina logic pia vile vile.

Na siye mie niliyesema hivyo, huyo ni George Bernard Shaw, if you know who am I talking about.
 
kumbe huwa mnammiss akipotea ..next time Brulay uage hata kwa Invisible
the boss nielekeze hiyo post ilipo
 
CAN YOU GUYS DISTINGUISH BLUREI FROM KUHANI,BLUREI FROM COMPANERO,KUHANI FROM COMPANERO?.............stuka!:D:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom