BLUETOOTH CONNECTION TO THE HOMETHEATRE

Nov 23, 2017
47
40
Habari wadau wa j4, naomba kuuliza jambo kuuzu hii kitu inayoitwa bluetooth. InFahamika kwamba computer kama haina bluetooth unaweza kununua usb bluetoth na ukachomeka na ukatumia bila shaka kila kitu kitakua sawa, je vipi kuusu radio au hometheatre ambayo haina bluetooth unaweza kufanya kama kumputer na ikafanya kazi? Kwenu wadau natanguliza shukrani kwa wote
 
Ndio inawezekana assume ina connection ya Usb na tech kama usb otg somewhere. Kuna adpater za bluetooth usb. Ama alternative kuna bluetooth za 3.5mm jack. Kitu kama hiki

Ila bluetooth si nzuri sana kwa home theatre hasa hizi za bei rahisi, ina delay fulani.
 
Back
Top Bottom