Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Wakulu wa jukwaa hili eti kwa mfano umezaa na mdada halafu wewe ni group A+ wakati la mama yake ni A+ vipi ikiwa mtoto katoka na group O+ inawezekana kibaologia au ndio nimebambikiwa mtoto sio wangu? Nauombe ushauri tafadhani je inawezekana blood gropu yangu itofautiane na ya mwanangu?