JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Swala ni Tanzania kukaanzishwa institutions inayohusika na rights hasa za content kama habari za online maana wamebase sana na offline, kila anayepost anafanyia copyrighting hata kama ni online subscription ili iwe automatic coz najua request zitakua nyingi sana kila siku habari mpya, kama mtu atacopy basi mwenye original content anatoa report mwenye blog anashughulikiwa ikiwezekana anafungiwa, its all about planning sio kwamba inashindikana,
Copyright mbona Tanzania ipo miaka mingi sana. Ma kila siku wanapiga kelele kuchukua haki miliki, lakini kuna sheria zinazongoza Website, copyright ya kitabu si kama ya website. Common huwa Inaruhusiwa kukopi endapo utaweka link ya source.