kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,108
- 1,170
Katika account zangu za mitandao ya kijamii hasa Facebook,sijui niite (sura ya kitabu) kuna vichwa vya habari vingi vinavyo nitaka kufatilia habari flani kwenye blog zao.
Lakini cha kushangaza ukibonyeza kwenye hizo link unakutana na eidha kichwa cha Habari hakiendani na habari yenyewe au utaelekezwa kusoma habari zaidi uendelee kubonyeza link nyingine au habari iliyoandikwa haieleweki maana haina kichwa wala miguu nyingine unakutana na muingiliano wa kurasa nyingi zinazofunika ukurasa mkuu ambazo zinakuwa Kero kwa msomaji,hapa ndipo ninapo jiuliza hawa wanao miliki blog hizi kama wanajua walifanyalo au ni kufata mkumbo na kujihesabu sehemu ya bloggers?
Kitu kingine kinachonikela ni mpangilio wa vichwa na flame za kurasa kwenye hizo blog ni za Hali ya chini na hakuna usanifu unaofanyika ni ilimradi liende tu .Ni vema mablogger kujua kuandika habari na kuwa na blog ni fani si kila mtu anaweza kufanya hivyo ingawa si makosa ki kisheria au kimaadili kuwa na blog.Nawashahuri wajifunze kwa wenzao ambao blog zao ni nzuri kwa maana ya habari na usanifu kwenye blog zenyewe.