Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

habari mkuu nina shida na wewe PM tafadhali naomba uni text mimi maana mimi nikikufata inasumbua kidgo iko limit
 
Sasa hiyo suspension huwa haiji leo... Mwanzoni mwa mwezi ujao utaona email inaingi.....

Google AdSense policy ...unfortunately...... Suspended... [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie endeleeni tu kufanya mchezo na google
Hahaha!
 
Hizo Audience za nje zinatengenezwaje mkuu
 
Lakini mbona google adsense wana accept kuweka ads kwenye blogspot
moja, kwa hio lazima awe na account 3 za adsense . Kila blog moja, tofauti na ukiwa na adsense a/c 1 unaweza kuongeza blog yng za domain.
 
JAMANI NIMEJIUNGA NA ADSTERRA na code nimeweka vizuri ila matangazo hayaonekani kwanini
 
moja, kwa hio lazima awe na account 3 za adsense . Kila blog moja, tofauti na ukiwa na adsense a/c 1 unaweza kuongeza blog yng za domain.
ok hapo nimekupata sasa hiyo ndo inakuwa hosted au non hosted?
 
ok hapo nimekupata sasa hiyo ndo inakuwa hosted au non hosted?
Non hosted ni zile account za google kama YouTube + Blogspot ambazo wewe au zihost sehemu yoyote (Google ndo wana host)
Hosted account ni zile ambazo wewe umezi host. Then unataka kujiunga na mfumo wa matangazo via Adsense.
Non hosted huwa zinawayi kuwa approved kuliko hosted. But zote zinapiga kazi fresh tu.
 
Boss unaonekana umeshare kitu cha muhimu sana ila bahati mbaya mi bado sijaielewa hii trick,naomba kujua kama lazima blog yako Iwe kwenye form ya app au la maaana Huyo muhindi nimeshindwa kumuelewa,pleeeeeaase.
 
kama blog yako umeiweka kwenye application na app hiyo umeiunganisha na Admob (Adsense) basi hii trick ndo itafanya kazi vyema japo kwa masharti nliyoyaweka hapo juu. kama unajiamini sana na hauna shida sana na adsense basi fanya hiyo trick ila kama bado haujaizoea adsense vizuri basi nakushauri utengeneze contents za kiingereza zenye niche ya biashara, afya kama kupunguza mwili kula and etc, technology kiasi na ishu za wordcup. usiwalenge watanzania kwenye blog yako maana nchi yetu haina thamani kwa google.
 
Mnaomshauri atumie fb kupata traffic mwambieni pia fb wanabadilisha algorithms za newsfeed yao itakua inafavour zaidi post za friends and family.
 
Mnaomshauri atumie fb kupata traffic mwambieni pia fb wanabadilisha algorithms za newsfeed yao itakua inafavour zaidi post za friends and family.
Shared post kutoka kwenye groups na pages hazitaonekana kwenye newz feed. Ila hakuna effect kubwa mkuu
 
Shared post kutoka kwenye groups na pages hazitaonekana kwenye newz feed. Ila hakuna effect kubwa mkuu
Sijakuelewa mkuu, kwa hiyo ukishare post kutoka kwenye page itaonekana upande gani kama kwenye news feed haitakuwepo?
 
Hapa nimekuelewa vizuri sana boss wangu,ila naomba kujua namna rahisi ya kupata AdSense account.asante
 
Hapa nimekuelewa vizuri sana boss wangu,ila naomba kujua namna rahisi ya kupata AdSense account.asante

kupitia blogger.com au youtube.com kama umejiunga na youtube na una videos ambazo kwa ujumla zina views zaidi ya 10,000 basi unaweza uka-apply adsense kwenye setting za youtube pale pale. Kwenye blogger kupitia option ya earnings

kisha utabofya button ya Sign Up

hakikisha posts zako ni za kiingereza na pia ukiwa na posts 10+ itapendeza zaidi kwa google kukubali ombi lako. Utaambiwa ujaze url address ya blog yako na baadhi ya details za muhimu kisha uta-cornfirm kwa ku-SUBMIT Then utasibiri ndani ya saa 48 -72 google waikague blog yako then watakupa mrejesho kupitia email yako kama umekubaliwa au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…