Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

yea

h inabidi uwe na fb accounts nyingi na kula fb account iwe na page moja unayotumia kupost kwenye magroup, nashauri kwa page moja post mara 8 tu kwenye magroup tofauuti kila baada ya dakika 10....
Mkuu nikiboost kwa dola 5 kila siku kwa siku 30 si itapendeza zaid
 
Asante mkuu ..Hayo magroup nitayafanyia kazi
 
Nenda shambani kalime achana na hizo mambo za blog, tumia mwaka mmoja tu kulima matikiti (misimu mitatu tu inatosha) alaf urud kutoa ushuhuda
 
Nashauri asifanye hivi
 
ukitulia vizuri unaweza kupiga dollar 200$++ kwa siku[una-post kawaida tuu] bila hata ya hizo mambo zenye risk...
 
Hee,mbona kila siku huwa na boost post zangu fb hapa bongo? Kwahiyo niache maana ni zaid ya miaka 3 na ina impact nzur
ok mkuu..mimi sijawahi ku-boost huwa na share kawaida kwenye page na groups...kuna baadhi walio boost wakadai account zinafungwa adsense wana-assume kama unanunua traffic , kama imekupa matokeo chanya endelea..
 
kaka naomba no yako
 
Poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…