Blog za kina dada



yeah ni kweli, ila ukifuata profile yake inaonyesha kuwa ni mwanaume..labda na wazoefu wa majina, kumbe NESTA ni jina la kike....ila its true ni mwanamke kuna mahali nimeona anawaadress 'mashoga' zake...au it could be that ni dume anajifanya mwanamke?
 
Blog za wanawake hazizidi 10. Kama 4 ni za kitchen pat, 4 za fashen, 2 za akili. Fashen, mapenzi, ngono ni jamii moja, zimebaki ngapi. Ila vitu vingine havihitaji utafiti. The past predicts the future. Hizi ni changamoto. Ukifanya risech unapoteza resources maana mwisho wa siku jibu ni hiyo null hypothesis. 'women bloggers rely on love affairs'
 
Hebu ziorodheshe hapa pamoja na anuani zake, Bandiko mama umesema umeziona mbili na ku conclude ni za ngono!
 
Ladies lets congregate by the side entrance to proceed for our daily sacrament,and ignore them menses na hizo comments zao za kifilipino.
 
Haina haja ya kunikatia ticket ila wee thibitisha by sending your own video wakati unamega/megwa.

kwenye video utahakikishaje kuwa ni mimi? wewe njoo tu nikumege ndo utajua kama mimi namega au la! si unashaka? njoo uondoe hilo shaka....ntakumega hadi ukawasimulie mashosti wako...gademu
 
Nimekuja kuambiwa kuwa swahilitime.blogspot na hiyo blog ya hadithizachiku ni mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…