Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
Kuna baadhi ya blog za kinadada ni nzuri na zinaelimisha, kuna moja niliiona nadhani inawalenga wakristo zaidi ila ni nzuri maana inaelimisha sana. inaitwa womenofchrist.wordpress.com
Mbona mnampiga mande binti wa watu jamani yeye anato ahoja yake (agee to disagree).Si amesha sema kuwa ameteleza,kwa nini yasiishe tuu.
hata huwa sifungui blog hizi
ulisoma mathematics? approximation 1.7 ni 2 hio mkuu....kati ya blog 10 basi 7 upupu mtupu.....zimejaa picha za beyonce na RiRi
Sijakufehemu bado ..wewe unaweza kufanya research ya walevi ukaenda kanisani au msikitini?Mkuu utaendaje bar ukafanya survey utoke useme asilimia kubwa ya Watanzania ni walevi?
Sijakufehemu bado ..wewe unaweza kufanya research ya walevi ukaenda kanisani au msikitini?
aisee umesoma maudhui ya thread arifu? blogs za wadada wa kitanzania......nitajie blogs 5 ambazo unaweza kukaaa na mama,baba yako hata bintiyo mkaangalia?Nikuulize wewe unao generalize wanawake kwa kuangalia blog za mapenzi.
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........
so far nimeshaziona na kutembelea mbili. ya Diva wa clouds na Dina wa clouds pia. sijajua kama kuna wengine wana blog zao. kilichonifanya niwaanike ni kuwa hawana jipya. mmoja alirushwa sana kwenye blog ya michuzi kuwa kaanzisha blog, kutembelea ndio hivyo tena. yaani bora wangezungumzia mapenzi-ni ngono tupu! huyu anazungumzia kifo cha mende na huyu anazungumzia ni mwanaume gani celeb wa bongo ungependa ku-do nae! nimegundua wamelalia katika mapenzi kwa vile hakuna nguvu ya ziada kutafuta habari. '
Hata hivyo, mimi nashauri aliyeleta mada hii atuambia utafiti wake sample size ilikuwa ngapi? ajaribu kuorodhesha blogu zote zinazosemekana kuwa za akina dada, kisha atuonyeshe hizo zenye mrengo wa kimapenzi ni ngapi kitarakimu ili kumaliza ubishi hapa.
Utafiti wake ameufanya katika blog mbili tu, soma vizuri bandiko lake! Wala usijipinde sana kuchangia, hii imekaa kiutamu utamu hivi!
I dont agree with people (being men or women) having blog za ngono.
Secondly kuna blog nyingi tu za wanawake wa Tz ambazo ni nzuri sana. yupo Subi wa nukta77 anatisha kwa collection nzuri, blog ya mamanamwana, Happy Katabazi na blog nyingine za Kikristo je na hizi ni ngono?
Haafu kuhusu wanawake kuwa wakiwa viongozi wa Taifa ''watachemsha'' kwani hao wanaume ndo wamefanya nini so far zaidi ya ufisadi?
Don't judge a person by his or her gender.
point is it is not all women are based in ngono blogs
mkuu angalia email anayotumia ni NESTAMBUGI@GMAIL.COM kumbuka hio blog ilianzishwa na dume akaitema kwa sababu zake binafsi na sasa NESTA ndio admin.....usibishe nenda kwenye profile yake weka cursor kwenye email juu kushoto kisha angalia chini kabisa ya ur browser utapata kitu kama hiki....Unless kuna tatizo jingine..mzee wa mawowow aka malongomba ni mwanaume
So come up with another claim lakini hiyo siyo kabisa unamwonea bure Pretty
Check profile yake hapa: Mawowowo