Jamaa kumbe ana twenty two packs
Watakukuta kwenye mfuko wa Rambo mto Zambezi.VP kuna dili? Utakula cha juu
Duh... Hili jina kidogo lifanane na Bwana yule, Mungu saidia wasifanane kung'ang'ania.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko Muga
[emoji23] [emoji23] kama tumefika msata basi turudi, Baada ya Msata si utasema Msoga kabisa.Waangalie isije kuwa vice versa....!!! kuna wawili wakaja mpaka msata.... Wamerudi wanachechema