Blandina Nyoni aula TRA!

Blandina Nyoni aula TRA!

Mimi utafiti wangu usio rasmi ni kuwa pale kuna "system" ya ulaji ambayo ni ya hatari. Wapo tayari kupokea hata sumu wakidai kuwa ni madawa ili tu wapate pesa. Hivyo akija mtu ambaye anataka kuondoa genge hilo basi wanajiunga kumfanyia cha kumfanyia. Mambo ambayo huyo mama anatuhumiwa nayo yawezekana kabisa ni ya kuchonga ili tu kumpaka matope. mfano hivi sasa ulizia kitu chochote kipya kizuri ni cha nani jibu utalipata haraka sana RITZ1. Hivyo bila uchunguzi na kuwa na system ambayo ni transparent tutaendelea kukupiga ramli tu.

Kuna miungu watu pale ukigusa maslahi yao wanakula nawe sahani moja


Blandina Nyoni alipigwa vita kwasababu alikuwa anapangua system ya ulaji iliyojijengea mizizi ya siku nyingi na ndio maana mara tu baada ya yeye kuondoka na Hussein Mwinyi kurudi ,wale wote ambao Blandina Nyoni aliwaondoa huyu kilaza na genege lake alilokuwa nalo toka enzi akiwa naibu waziri akawarudisha pale wizarani!!! Sasa pale siku hizi kazi hazifanyiki ni uswahili swahili tu na watu kuzurula hovyo na ndio maana hata wafadhili wanasita kuleta misaada yao kwenye hiyo wizara kwasababu ya lack of accontability!!!
 
Kuwa mwizi au fisadi ni sifa moja muhimu ya kupata ajira nchi hii. Mjitahidi muwe munaiba makazini kwenu mtalindwa tu.
 
all definitions reflect your comments!

Napenda sana JF hapa watu hawababaishi mambo bwana.
asante sana mdau.
 
She was not that clean uliza wafanyakazi wa hiyo wizara utajua mambo
 
Twelve millions? Sina hakika ila nimenusa harufu ya majungu ktk hoja hii?
 
all definitions reflect your comments!

aiseee, we mkali ,
 
Mkuu ni kweli kabisa huyu mwanamama anatuhuma nzito sana ambazo bado hazijathibitishwa,na haya yote inasadikiwa aliyafanya akiwa wizara ya Afya!Mimi sioni vibaya yeye kupangiwa kazi eneo jingine wakati bado uchunguzi unaendelea.Ikithibitika bila shaka kuwa hayo yote aliyafanya,basi iwe wakati muafaka wa yeyu kufukuzwa kazi mchana kweupe na kujibu mashitaka yake Mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi yetu!kwa kufanya hivyo haki itakuwa imetendeka!

kwa wa - tanzania kila aliye na tuhuma hata ya kusingiziwa na wanasiasa wehu imekula kwake na hana nafasi ya kujitetea
 
Uchunguzi gani mkuu? Hamna uchunguzi hapo, upepo umeshapita! Anaungana na Chenge, Jairo, Balali, Ngeleja, nk nk

Kweli mkuu.

hivi haya yanatokeaje? ama kweli Mungu aingilie kati maana tumefanywa mazezeta na viongozi wa chama cha magamba.
 
They said 12M sir not 10M, si you know she was not fired? she still enjoys a Governement Car, a Driver, and all that goes with such callings am not sure if she is alone... Someone said 'dhaifu'
Ooh yeah, you are right. She is not alone and she will never walk alone like you. Congrats madame, all Tanzanians are behind you..! We luv you so much..!
 
Uchunguzi gani mkuu? Hamna uchunguzi hapo, upepo umeshapita! Anaungana na Chenge, Jairo, Balali, Ngeleja, nk nk

Kila mara nakuwa narudia hakuna msafi ktk hii system ya CCM! Na kuna watu eti wanamtetea huyu mama,anatuhuma kibao na hakuna wa kuzithibitisha kwa sababu system ya CCM ni kulindana,wacha wao waendelee kugawana keki pekee yao sis tuendelee kuhangaika jehenamu yetu, tutafika tu!
 
Huyu Mama ni mchapakazi sana,na sio mbaya kama inavyozushwa na watu yote hayo ilikuwa ni kwa wale wavivu na wasiotaka kufuata taratibu,ila kikweli mama ni mfuatiliaji na mweledi mkwa kwa kazi kama afisa masuhuli(Accounting officer)wizara ya Afya haikuwahi kuwa bora na imara kama alipokuwepo.mimi Dakitari palepale wizarani,namfahamu vizuri huyu mama,na kabla ya hapo nilikuwa wizara ya mambo ya ndani!nilimfahamu vizuri akiwa Mhasibu Mkuu wa serikali!Mama ni mweledi kila anapokuwa amekabidhiwa majukumu,nilitamani sana angerejeshwa palepale wizara ya afya kama katibu mkuu,au wizara nyingine kama katibu mkuu.tukiwa na akina mama kama huyu kwa nafasi za kiutendaji hakika nchi ingesonga mbele,chapa kazi mama kazi yako wenye haki wanaiona na Mungu atakujalia.

Acha unafiki ndugu yangu nyie watu wa wizara ya afya si ndo mlikuwa watu wa mwanzo kulalama kuhusu huyu mama? Na mkaeleza mambo kibao ikiwemo kujipa tenda zote kupitia makampuni yake na kuwavalisha nguo(sare)zinazobana?au mi nachanganya sio Blandina aliyekuwa anapigiwa kelele kuleta vifaa na madawa yasiyokidhi viwango wakishirikiana na mganga mkuu wa serikali Dr. Mtesiwa? Au nakosea mdau,utanirekebisha.
 
Ubabe ndiyo ulimuondoa wizara ya afya.
Ila anachapa kazi.
Kama kweli tatizo ni ubabe na sio ufisadi ambao amekuwa akituhumiwa nao; basi naweza kumpa credit coz' Mtanzania ukimsikia anasema kiongozi fulani anapenda ubabe tafsiri rasmi ni kwamba kiongozi huyo hataki upumbavu linapokuja suala la uwajibikaji! Mara nyingi Watanzania tunawapenda sana Laissez-faire Leaders wakati kujiongoza kwenyewe hatujui!
 
Twelve millions? Sina hakika ila nimenusa harufu ya majungu ktk hoja hii?
Kama majungu yapo, basi kwenye jambo lingine lakini sio hilo la 12M....usisahau, ni Kamishina pale TRA ambae amepata pia kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali!
 
Tatizo la watanzania ni wivu tu kwani kwa kusimamishwa Blandina Nyoni ninyi mmepata nini hiv mnajua pamoja na kusimamishwa alikuwa anaenedelea kupata stahili zote (Mshahara etc.) japo alikuwa haendi kazini hamuoni kama ni kupoteza pesa. Hiv leo akiteuliwa kuwa Kamishna TRA kuna ubaya gani? ikithibitika alifuja mali apelekwe mahakamani na sio kutegemea kauli zenu za mtaani
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
......so sad that the 'masaburi serious syndrome has caught up with you!
 
Kuna Mwizi wa mali za umma aliye jela zaidi ya wale wezi wa kuku?
Kuanzia sasa siwaiti mafisadi maana limepoteza ukali uliokusudiwa! Ila hakuna anayependa kuitwa Mwizi! Nitawaita Wezi from now!
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
Acha kumkashifu Dr. Masau, kama haunataarifa jinyamazie tu! Yeye fisadi atapambana vipi na mafisadi wenzie?
 
Acha unafiki ndugu yangu nyie watu wa wizara ya afya si ndo mlikuwa watu wa mwanzo kulalama kuhusu huyu mama? Na mkaeleza mambo kibao ikiwemo kujipa tenda zote kupitia makampuni yake na kuwavalisha nguo(sare)zinazobana?au mi nachanganya sio Blandina aliyekuwa anapigiwa kelele kuleta vifaa na madawa yasiyokidhi viwango wakishirikiana na mganga mkuu wa serikali Dr. Mtesiwa? Au nakosea mdau,utanirekebisha.[ya NIMR/QUOTE]
Ni kweli kabisa, tena alihusika na upoteaji wa sh. zipatazo bilioni tatu kupitia akuanti NIMR
 
Back
Top Bottom