Blandina Nyoni aula TRA!

Blandina Nyoni aula TRA!

Inamaana hii nchi hamna watu wengine mpaka kutengeneza cycle ya watu wanaoharibu kuhamishiwa kutoka huku kupelekwa huku......Bila sisi vijana kufanya bidii kuingoa CCM tutasikia majina yaleyale kila siku wakati kuna watu wengi wenye uwezo...
 
Mti wenye Matunda hauishi kurushiwa mawe, Utendaji wa Blandina unafahamika sana tangu akiwa Mhasibu Mkuu. Huyu Mama ni Magreth Tsetcher wa Tanzania Chapa kazi Mama achana na Vipeperushi vilivyosajiliwa kwa Mkuu wa Posta kama Gazeti!
 
Kwa nini huwa tunatumia nguvu nyingi kulalamika kwenye keyboad tu?
Hivi hakuna sheria inayoruhusu mtanzania wa kawaida kumshitaki kiongozi yeyote wa uma ambaye utendaji wake unatia hasara kwa jamii anayo iongoza? Kama ushaidi na vielelezo vyote vipo juu ya ufisadi,inamaana hatuna wanasheria ambao wanaweza kuona hayo na kuwaburuza mahakamani kwa maslahi ya taifa? Au Hatuna wanasheria wazalendo?
yaani nikifikiriaga hayo yote huwa nabaki na choka.
 
wivu wa nn ili hali ana2huma nzito wizara ya afya?any way ndio tanzania bwana.
 
Uchunguzi gani mkuu? Hamna uchunguzi hapo, upepo umeshapita! Anaungana na Chenge, Jairo, Balali, Ngeleja, nk nk
Kama wataacha na uchunguzi waliodai wanaendelea kuufanya basi hapo Serikali inastahili lawama!
 
Tuliambiwa pia kuna dereva wake ambaye alimfanya kama mpenzi wake akiwa anampa taarifa nyeti za yeyote aliyeonyesha kumfuatilia, je huyu dereva amehamia naye huko TRA? basi ameula!!!
 
Ritz and Company Limited watasema mama blandina Nyoni anasakamwa kwa sababu ya dini yake? chunga sana ..... JF ni zaidi ya uijuavyo haiangalii dini ya mtu.......... MASLAHI YA TAIFA MBELE.
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.

Mkuu una uhakika na hicho unachosema ?
 
Kwamba wakubwa wetu wana Kiburi hilo linafahamika , lakini sikufahamu kabisa kwamba HATA AIBU HAWANA ! Blandina Tena ?
 
Wamempatia Zawadi baada ya kushiriki kupoteza uhai wa Dr.Masau (RIP)
 
Tuliambiwa pia kuna dereva
wake ambaye alimfanya kama mpenzi wake akiwa anampa taarifa nyeti za
yeyote aliyeonyesha kumfuatilia, je huyu dereva amehamia naye huko TRA?
basi ameula!!!

Huyo dereva anaitwa Elias Mkumbo....
 
They said 12M sir not 10M, si you know she was not fired? she still enjoys a Governement Car, a Driver, and all that goes with such callings am not sure if she is alone... Someone said 'dhaifu'

Hahahaha!!!Well said

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
CCM ni janga jamani
Hivi huyu M/KITI wa Chama Taifa hakusikia
Kashfa za huyu Mama

JK hapo umetuacha midomo wazi
kama tumekamatwa Ugoni vile
 
This is a pooh poohed appointment from a reckless government!
 
sasa wasipompa kazi watoto wake watakula nini?tupunguze wivu
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.

Ndugu unajua usemacho? Unataka tuurudishe mjadala hapa uone?
 
Mkuu una uhakika na hicho unachosema ?

Kama anabisha aseme!!
A%20S-fire1.gif
 
Mkuu hapo hamna kitu ni mbwembwe tu za magazeti,huyu mama kabla ya kuwa mhasibu mkuu wa Serikali alikuwa mmoja wa makamishna wa TRA.Kilichofanyika ni kumrudisha tu alikotokea,hakuna jipya hapo

Kwahiyo hiyo nafasi ya ukamishna ilikuwa wazi inamsubiria yeye muda wote alipokuwa amepelekwa hazina na kisha baadae wizara ya afya? au hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuwa kamishna kwahiyo wakalazimika kumrejesha the failure Blandina Nyoni?
 
Back
Top Bottom