Blackberry ya kichina.

Blackberry ya kichina.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Je hii simu inatofauti gani na original?
Nataka kuinunua lakini naogopa.
Je simu za kichina zinakubali internet configuration ya mitandao yetu?
 
Mkuu net configuration inapokea ila blackberry mchina kwenye internet sio sim,kama unaichukua kwa mawasiliano tu poa ila kwa net na entertainment ya aina yeyote apart from music sahau! Kwanza huwezi kudownload game likafunguka(haipokei jar. nor jad. inshort no games apart from soduku and the other internal stupid games). Camera yake imeandikwa ina megapixel ni kama 4 au 3 kama cjasahau,ila picha inazopiga ni rubbish,videos kiduchu sana ina ubora ukilinganisha na picha. Programming yake it's so boaring,yaani utaitumia cku mbili utaiona choo,ukikaa nayo mwezi hujaiuza we balaa! Bora ninue nokia ndogo kabisa yenye internet capabillity kuliko blackberry au I-phone ya mchina. Puuu mpaka nimetema mate jinci ninavyoichukia hiyo cm.lol
 
Mkuu net configuration inapokea(ila hata manually), ila mchina kwenye internet sio sim,kama unaichukua kwa mawasiliano tu poa ila kwa net na entertainment ya aina yeyote apart from music sahau! Kwanza huwezi kudownload game likafunguka(haipokei jar. nor jad. inshort no games apart from soduku and the other internal stupid games). Camera yake imeandikwa ina megapixel ni kama 4 au 3 kama cjasahau,ila picha inazopiga ni rubbish,videos kiduchu sana ina ubora ukilinganisha na picha. Programming yake it's so boaring,yaani utaitumia cku mbili utaiona choo,ukikaa nayo mwezi hujaiuza we balaa! Bora ninue nokia ndogo kabisa yenye internet capabillity kuliko blackberry au I-phone ya mchina. Puuu mpaka nimetema mate jinci ninavyoichukia hiyo cm.lol

Nazjaz huu ndio ushauri... good guy has a good point!
 
Mkuu net configuration inapokea ila blackberry mchina kwenye internet sio sim,kama unaichukua kwa mawasiliano tu poa ila kwa net na entertainment ya aina yeyote apart from music sahau! Kwanza huwezi kudownload game likafunguka(haipokei jar. nor jad. inshort no games apart from soduku and the other internal stupid games). Camera yake imeandikwa ina megapixel ni kama 4 au 3 kama cjasahau,ila picha inazopiga ni rubbish,videos kiduchu sana ina ubora ukilinganisha na picha. Programming yake it's so boaring,yaani utaitumia cku mbili utaiona choo,ukikaa nayo mwezi hujaiuza we balaa! Bora ninue nokia ndogo kabisa yenye internet capabillity kuliko blackberry au I-phone ya mchina. Puuu mpaka nimetema mate jinci ninavyoichukia hiyo cm.lol

Didnt see you posting 4 ages.. good 2 see u again..
 
Mi nnayo mwaka na miezi 4 sasa, mi nimeipenda coz naitumia kusomea vitabu ktk ebook yake ingawa kwa mafaili ya txt tu kwani haikubali pdf.video, kamera intaneti, games application haifai pia kuna tatizo ktk system yake ya kuchaji(simu nyingi za mchina ziko hivyo) huwa inagoma na kuandika "warning bad charger contact" kwa sasa nachajia kobe lol
 
but guys you gotta give the thumbs up to the CHINA mobiles when it comes to the music. Apart from that it's a nightmare,i used one long time ago never bought em' ever since! They also have a habit of freezing from time to time,slow when writting txts and a total disaster at handling media files apart from mp3 music (cant open most photos,large vids may be 3gp but it wont open em).Take this advice from the Good Guy,usinunue hiyo cm,kama uchumi hauko poa namna gani kuna nokia nzuri za kuanzia 70 zina browser poa ila memory ni internal na co kubwa,ukijivuta hata kilo na nusu unakula 4ne poa sana kuliko mchina.CHEERS
 
Hivi wadau hawa TBS wanahusika au hawahusiki ktk soko hili la simu za mkononi na vifaa vyake? Kutokana na ukubwa wake na pesa nyingi inayotumika hivi kuna juhudi gani zinazofanywa kuhakikisha wateja/wanunuzi wa simu na vifaa vyake wanapata vilivyo bora na sio mchanga wa macho? Wadau mnalionaje hili....
 
TBS died before Nyerere. Thats why haiaminiki tena
 
Back
Top Bottom