Blackberry ya kichina inanikosesha raha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry ya kichina inanikosesha raha

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chibidu, Sep 18, 2011.

1. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#1
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Wana JF habari za wikienda. kwa wale wataalam wa simu za mkononi naomba msaada wenu. mwenzenu nimekuwa nikitumia simu aina ya nokia E5 kwaajili ya matumizi ya internet hasa ninapokuwa mahali tofauti na nyumbani au ofisini. Sasa hiyo simu nimempa mdogo wangu kama zawadi. Sasa Katika kupitapita mitaa ya kariakoo nikakutana na simu inafanana kama ile niliyokuwa natumia, lakini yenyewe inaitwa blackberry Q3 ya kichina. Inaonesha facilities zote ninazotaka zimo, pamoja na internet. Tangu niinunue sasa nina zaidi ya wiki sijaweza ku connect internet. Ila yahoo mesenger inaunga kama kawaida. Dukani waliniambia kuwa nikiwapigia customer center wa mtandao ninaotumia watanifanyia installation na nitapata net kama kawaida. Nikafanya auto configuration mwenyewe ikanigomea. Nikawaendea watu wa airtel wanisaidie kufanya manual configuration, ndio kwanzaaa wakanikatisha tamaa, wakaniambia bro hizo chinise type huwa hatuna msaada nazo. Kwahiyo wakuu kama kuna mtu ana utaalam nazo naomba taulo (msaada) maana inanikosesha raha niwapo tofauti na nyumbani au ofisini. Maana nishainunua na bajeti yenyewe ya simu kwa siku za karibuni imeshabana. Majibu yangu nitayafuata baadaye hapa JF maana hapa nilipo ngereja kishachukua umeme wake, natumia simu ya mshikaji tu na mwenyewe kishaniambia muda alionipa umeisha

2. Kang

Kang JF-Expert Member

#2
Sep 18, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,125
Likes Received: 619
Trophy Points: 280
Hakuna simu ya Blackberry Q3 so sina uhakika umenunua nini.

Ila kama umeipata sehemu ya kuingiza settings na ukafanikiwa kuziingiza umesema Yahoo inafanya kazi, maana yake simu inapata mtandao. Unaposema internet haifanyi kazi unamaanisha nini? unapata error? error ipi?

3. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#3
Sep 18, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,056
Likes Received: 301
Trophy Points: 180
Hakuna blackbery ya kichina Mkuu! Hiyo ni simu ya kichina tu, kwisha!

4. VUVUZELA

VUVUZELA JF-Expert Member

#4
Sep 18, 2011
Joined: Jun 19, 2010
Messages: 3,106
Likes Received: 13
Trophy Points: 135
Mnawasifia China wamekuja juu kwa kila kitu halafu mnaogopa bidhaa zao kama ukoma!

5. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#5
Sep 18, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Mkuu hakuna blackberry ya kichina..OS ya chinese mobiles ni moja...ni bora uiuze ununue simu nyingine tu

6. AirTanzania

AirTanzania JF-Expert Member

#6
Sep 18, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 1,127
Likes Received: 678
Trophy Points: 280
Q3 ni Audi mkuu, hivi Watanzania mtaacha lini kununua hizo simu za Kichina? Ni bora utumie pesa nyingi kununua kitu Quality kuliko fake. Tatizo kubwa la watanzania mmezoa vya kunyonga vya kuchinja hamuwezi. Pole mkuu umeingizwa mjini

7. Shakazulu

Shakazulu JF-Expert Member

#7
Sep 18, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 940
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
WaTanzania hwajali quality hata kidogo. To them price is the most important factor

8. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#8
Sep 18, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
N bora niwe na 6030 nokia, kuliko hyo unaita blackberry mchina.

9. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#9
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mkuu si unajua mafisadi wamesha tumaliza kiuchumiz? Sasa tutakapotumia 40 percent plus ya pata lako kwa kununua simu watoto wapata wapi hela ya ada? Hii ndio hali halisi ya maisha ya mtanzania mvuja jasho kama mimi

10. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#10
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mkuu ndio maana naamini kuwa kuna namna ya kuweza kuifanya hii simu iweze ku connect websites au blogs nyingine, kwani huku kwenye yahoo mesenger wameifanyia confuration kiasi kwamba ina load mesenger kwajili ya ku chat tu, na sio the yahoo website, ukijaribu ku connect any website, let say jamiiforums, inakwambia connection failed, ukibadirisha hizo settings zao zinazoifanya mesenger i load (let say ukatoa APN settings zilizopo ukaweka za airtel au tigo), ndio kabisa hupati kitu hata hiyo mesenger

11. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#11
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mkuu ndivyo ilivyoandikwa "blackberry" hata kama sio blackberry kweli. Hivyo ni muhimu nami nikatumia the same name ili wanaoweza kusaidia wajue ninazungumzia simu gani

12. Jayfour

Jayfour Senior Member

#12
Sep 18, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 115
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Simu yo yote yenye umbo pana utasikia watu wanaiita blackberry. Hata kama ni nokia kama e61 kwa sababu ya upana wake itaitwa bb. Ndiyo maana aliposema bb ya kichina mi nikawa nishapata picha ya simu anayokusudia kusema.

13. Jayfour

Jayfour Senior Member

#13
Sep 18, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 115
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Mi naona hizi simu za kichina ni kama zimetengenezwa kiujanja-ujanja. Mi zilinisumbua sana wakati fulani kabla sijashtuka na kupata ushauri kwa mfanyakazi wa voda nilipokwenda kufanya settings za internet wakati huo. Sasa nina nokia e71 na nimeondokana kabisa na matatizo ya simu. Simu za kichina nomaaa!

14. Kang

Kang JF-Expert Member

#14
Sep 18, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,125
Likes Received: 619
Trophy Points: 280
Andika hivi kwenye webbrowser ya simu yako
173.194.32.49
kama ikifunguka Google utakuwa haujaweka setting za DNS.

Pia jaribu kuinstall Opera Mini web browser
Opera Mini & Opera Mobilejaribu version za Mini 3 Basic then 4.3 then 6.1

15. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#15
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

ngoja ni test mkuu

16. fabinyo

fabinyo JF-Expert Member

#16
Sep 18, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 2,084
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
..hiyo ni china original,huwa haipati network,ikipata ujue hiyo feki

17. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#17
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mkuu option ya kwanza imeshindikana. Still i'm getting connection failed messege. Hii ya pili ya ku

install opera ndio kasheshe, nitawezaje ku download wakati haina internet?

18. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#18
Sep 18, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
mkuu sidhani kama hata hiyo Opera Mini ya java itakubali kuInstal kwenye simu ya mchina, maana hata OS yake ni ya kuficha ficha developers hawatengenezi software zake', au haijulikani kabisa,,,,,,,mchina hasara tupu, hata browser yake inavyofunguka ni bora kutumia nokia tochi original kuliko kukumbuna na matatizo ya mchina',,,,,:gossip:

19. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#19
Sep 18, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
hata ungekuwa na Internet Conn' ukaDownload Opera itakuwa kama inCompatible file lililobaki na option ya kudelete tu, kwenye mchina ukisema unaDownload ni media files pekeyake kama Videos', Pictures and Audio..pole sana mkuu'..........:frown::frown:

20. Chibidu

Chibidu JF-Expert Member

#20
Sep 18, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 387
Likes Received: 8
Trophy Points: 35

mkuu mimi sijakata tamaa, najua hakuna kitu mtanzania alishawahi kushindwa kuchokonoa. Ngoja nisubiri wengine watasemaje

Loading...