Msaada: BLACKBERRY INTERNET PLAN

Msaada: BLACKBERRY INTERNET PLAN

Kwetu Ngoreme

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
489
Reaction score
189
Natumia simu ya Blackberry kwenye maswala ya internet, Huduma za Blackberry internet zipo juu sana ukilinganisha na huduma za kawaida za simu nyingine. Naomba msaada wenu kama kuna namna ya kutumia huduma za kawaida kama kwenye simu nyingine. nimesikia kuna watu wanaweza kufanya hizo configuration.
 
Hiyo cm ya watu wenye hela.mambo mazuri yana yana gharama zake.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kiukweli nadhani uliitamani hiyo simu mda mrefu bila kujiuliza matumizi na gharama ya kuendesha hiyo simu...

Ni simu ambayo unatakiwa uwe na uwakakika kuwa na pesa isiyopunguani shiling 30,000 Tsh... Otherwise haitakuwa tofauti na simu Nokia ya tochi...

Sijui kama ww unafanya kazi inayokuingia kipato... Ndo maana umehuliza swali lako... Plz uza tu hyo simu au tumia hvyoh hvyo..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ijaribu kutumia opera mini me huwa natumia hivyo kiongozi
 
Back
Top Bottom