Msaada: My Blackberry storm 9530

Msaada: My Blackberry storm 9530

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Salamu wakuu! Nimenunua blackberry storm 9530 lakini nimekutana na changamoto zifuatazo:
1. Nikipiga *102# au kuingiza voucher *104*13682....# haiendi kwa njia ile ya kawaida unapo dial kwa kumalizia na alama #. Kwa mana nyingine siwez kuuliza salio wala kuongeza salio kwa vocher. Nikipiga inaenda kama nampigia mtu tu na halafu naambiwa tunashindwa kuitambua namba hii, tafadhal ichunguze vizur na upige tena.

2. Nikibofya browser inaniambia yafuatayo "your device does not currently have any Browser Configuration Service Book Entries.
Please contact your service provider to enable the Browser on your device."

naomba msaada ili niweze kuitumia simu yangu ktk internet na pia kuongeza au kuuliza salio.
 
Hilo la kuhusu browser umejaribu kujiunga na bundle za blackberry??
 
Mkuu, ndio maana hapa hua tunasema unapo taka kununua kitu jaribu kwanza kuonana na wataalamu wa mambo hayo au ingia kwenye mitandao na usome kuusu utendaji kazi wa hicho kifaa unachotaka kukinunua...

Hiyo simu ina technolojia mbili CDMA na GSM, na inaconfiguration za CDMA ndio maana hizo Shot code hazifanyi kazi kwa mtandao wa GSM.

Cha kufanya ni hivi, kama unataka angalia salio piga namba 100 wakati iko hewani bila kukata simu piga *102# utaona salio lako kama kawaida na hivyo hivyo wakati unapotaka kuweka vocha au kujiunga na vifurushi mbali mbali...
Hii simu ukijiunga na bado za BB haitakubali, ila kuna njia za kuweza kutumia net kwa bando za kawaida kabisa na kila kitu kikafanya kazi nione kwa PM mkuu.
 
asante mkuu. Ntakuchek kwa pm
 
Vipi umefanikiwa kwenye kucheck salio na kuweka? Nitakujibu pm yako mkuu na wengine walio ni PM
 
asante sana uncle! Yani nimefanikiwa vizuri sana. Ntashukuru pia zaidi ukinijibu pm yangu
 
Nashukuru uncle kanisaidia sasa naweza hata kununua bandle ya BB (social). lakin tatizo bado sijafanikiwa kupata internet. Nikibofya browser inaniambia contact service provider to enable internet service on your device.
Kuna mtu aliniambia niende kwenye host routing table lakin nakuta "no entries" na nikibofya menu key halafu "register now" sipati kitu.
Halafu mnisaidie hii Enterprise activation inahusu nini?
Nisaidien jaman niweze kupata internet kwenye simu yangu
 
nitapata wapi fundi mzuri wa blackberry kwa dsm? Bb yangu inasumbua sensor ya katikati
 
Mkuu, ndio maana hapa hua tunasema unapo taka kununua kitu jaribu kwanza kuonana na wataalamu wa mambo hayo au ingia kwenye mitandao na usome kuusu utendaji kazi wa hicho kifaa unachotaka kukinunua...

Hiyo simu ina technolojia mbili CDMA na GSM, na inaconfiguration za CDMA ndio maana hizo Shot code hazifanyi kazi kwa mtandao wa GSM.

Cha kufanya ni hivi, kama unataka angalia salio piga namba 100 wakati iko hewani bila kukata simu piga *102# utaona salio lako kama kawaida na hivyo hivyo wakati unapotaka kuweka vocha au kujiunga na vifurushi mbali mbali...
Hii simu ukijiunga na bado za BB haitakubali, ila kuna njia za kuweza kutumia net kwa bando za kawaida kabisa na kila kitu kikafanya kazi nione kwa PM mkuu.
Uncle Rukus umetisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom