Blackberry Storm 9530 web browser hakuna

Blackberry Storm 9530 web browser hakuna

Personally nshatumia BB tatu za verizon na zote BIS ilikuwa inawork msimkatishe jamaa moyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nadhani huyu bwana ametumia simu za wizi labda, kivipi simu iliyo unlocked na inayosupport technologia inayotumika TZ (GSM) ishindwe kupata data? Hili haliwezekani kabisa.
 
9560 mbili na 9500 moja

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu storm zote ulizotumia hizo zilikuwa zinatumia technology moja tu ya GSM na ndio maana zilikubali kufanya kazi kwenye upande wa BIS hapa bongo.... tofuati na hizo model nilizokutajia hapo juu.
 
Nadhani huyu bwana ametumia simu za wizi labda, kivipi simu iliyo unlocked na inayosupport technologia inayotumika TZ (GSM) ishindwe kupata data? Hili haliwezekani kabisa.

Sijawahi tumia simu ya wizi ndugu, naomba nikufahamishe kuhusu hilo..... Nadhani kiswahili kinatupa shida kidogo, sijasema hazifanyi kazi kwenye voice data.... huwezi zitumia hizi simu zenye both technology ya CDMA & GSM from Verizon, upande wa data plan BIS BES haziwezi fanya kazi kwa hapa bongo....

Hizo model alizotaja hapo juu huyo mdau zote zinatumia technology moja ya GSM na ndio maana BIS alifanikiwa ilifanya kazi kwenye simu hizo....

Shida ya hizi simu zenye CDMA na GSM ni kwamba zilikuwa zinatumika kwa CDMA uko ziliko toka na Zina configuration za CDMA ambazo zina zuia baadhi ya fuctionality za GSM kufanya kazi... Sijui kama umewahi kutumia simu za blackberry na kujua zinavyo fanya kazi?

Na kuhakikishia kuwa huyu mdau mleta mada hatofanikiwa kutumia internet kwa njia ya BIS kwa hapa bongo.
 
Mkuu storm zote ulizotumia hizo zilikuwa zinatumia technology moja tu ya GSM na ndio maana zilikubali kufanya kazi kwenye upande wa BIS hapa bongo.... tofuati na hizo model nilizokutajia hapo juu.

Usicrame maisha ndugu, 9650 ni cdma na gsm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Usicrame maisha ndugu, 9650 ni cdma na gsm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Haya Ndugu, ebu msaidie mfianchi awezekutumia simu yake kwenye internet kama ulivyo fanya wewe.... Maana hapa naona tunaonyeshana ujuaji badala ya kumsaidia mwenye tatizo.
 
Badili mtandao weka airtel, kwakuwa utakuwa unatumia os5 au ya chini. Itatokea wap browser ya airtel

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Badili mtandao weka airtel, kwakuwa utakuwa unatumia os5 au ya chini. Itatokea wap browser ya airtel

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Eeh kumbe ni rahisi hivyo? Kabla ya kuendelea mbele ngoja nimuache Mfianchi afanye kama ulivyo muelekeza... Na jua majibu atakayo kuja nayo!
 
Uncle Rukus,me mwenyewe natumia hiyo blackberry storm 9530,ni verizon wireless..haikubali BIS,na haitakubali coz nimezunguka kote Tigo,airtel,vodacom wameshindwa...na nimebadilisha touch screen lkn bado inasumbua...in short hii cmu haifai
 
Bora uwaambie wewe labda watakuelewa,maana humu ndani kuna watu wabishi sana na wajuaji!

Sijawahi ona simu kimeo kama storm 9530 touch screen yake ni mbovu ila mbaya... Nilikuwa nayo kama miezi mitatu hivi nikagawa wa houseBoy wangu..
 
Badili mtandao weka airtel, kwakuwa utakuwa unatumia os5 au ya chini. Itatokea wap browser ya airtel

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mnh mi mgeni humu kwenye sector ya bb am totaly clueless hebu nisaidieni kuchange line au mtandao kuna uhusiano vipi na ku upgrade au kudowngrade os ya simu?
 
Mnh mi mgeni humu kwenye sector ya bb am totaly clueless hebu nisaidieni kuchange line au mtandao kuna uhusiano vipi na ku upgrade au kudowngrade os ya simu?

angalia usijeambiwa wewe umeshazoea nokia hata ukielekezwa bb huwezi elewa ngoja tusunbiri nini kinafuata..
 
Mnh mi mgeni humu kwenye sector ya bb am totaly clueless hebu nisaidieni kuchange line au mtandao kuna uhusiano vipi na ku upgrade au kudowngrade os ya simu?

Mkuu, ni kwamba unapokua na line ya Airtel na unatumia BB ambayo OS yake ni 4.5 (kwa baadhi ya BB) na OS 5.0 na kuendelea, unapoweka line yako ya Airtel wana Push bb browser (wap) kwenye simu yako ya Blackberry..

Ambapo kwa makampuni mengine ili wa-push setting za browser kwenye BB yako lazima uwe umejiunga na Data plan ya BB like BIS or BES,(kwa tanzania hakuna kampuni inayotoa huduma ya BES bali wanatoa BIS tu..)

Ila hizo setting zitakuwezesha kusurf kwa matumizi ya web browsing tu, hutopata huduma ya BBM wala Push E-mail n"k hadi jiunge na BIS ndio zifanye kazi....

Na njia hii inafanya kazi kwa simu ambazo hazina matatizo kama ya mleta mada hii. Kuchange line hakuhusiani na Ku-upgrade or downgrade OS ya BB.
 
hiyo simu ni pasua kichwa niliinunua mwezi wa 2 nadhan nlikaa nayo week nikajuta kuinunua. Internet sahau
 
Inaelekea technology ya hawa jamaa ni lazima uiendee shule kabla ya kununua!
 
Mkuu, kwanza nikupe pole, Huwezi kutumia BB yako kupata service ya BB data plan, kwani hiyo inatumia mfumo wa CDMA japo kua pia inafanya kazi kwa mitandao ya GSM.... Bila shaka Storm yako itakuwa imetoka Kampuni ya Verizon..... Na kushauri kama unaweza kuuza hiyo simu fanya hivyo haraka kabla aijaanza kusumbua touch screen yake.

Labda kama utapenda kuendelea kuwa nayo unaweza kuichakachua na kuitumia kwenye internet ila BBM haitafanya kazi.
Ni kweli kaka hapo penye Red na tayari nimegawa bure kulle kijijini ambako imekuwa ikifanya kazi ya kupokea na kupiga simu tu na si intaneti tena,
 
Ni kweli kaka hapo penye Red na tayari nimegawa bure kulle kijijini ambako imekuwa ikifanya kazi ya kupokea na kupiga simu tu na si intaneti tena,

Pole mkuu kwa usumbufu ulioupata.. Nadhani utakuwa umejifunza kitu hapa, kabla ya kufanya ununuzi wakitu chochote nilazima ukifanyie reseach kidogo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom