Blackberry Storm 9530 web browser hakuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry Storm 9530 web browser hakuna

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfianchi, Oct 16, 2012.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Wandugu nimeuziwa BB Storm 9530 cha ajabu nimeweka bundle kwaajili ya intaneti web browser ya mtandao nilioweka haitokei,kwa hiyo kushindwa kushadidia(kuupata mtandao) intaneti nimejaribu kushusha Blackberry Desktop Manager lakini nimeshindwa.kwa aliye nguli wa BB naomba anisajidie jinsi ya kufanya pia kama unayo BDM naomba uteremshe hapa ili nipakue,asante waungwana
   
 2. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  umenunua kifurushi cha BB Au bundle zngne? Lipia BB services nenda kwenye advanced option fanya settings ita depend unatumia mtandao gan ukimaliza edge pale juu ina change inakua EDGE
   
 3. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Download os ufanye update itarudi

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Nilinua Blackberry plan ya kuanzia kutoka Tigo ambayo ni Tsh 4500 yaani nilituma nenoBB3 kweda 15518 na ikaja msg inayosema ingia kwenye MENU-OPTIONs-ADVANCED OPTIONS-HOST ROUTING TABLE,BONYEZA MENU BUTTON-REGISTER NOW halafu zima na uwashe baada ya dk 5 lakini wapi hakuna kitu
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sipo familiar na hiyo plan ya Tigo na nikiangalia website yao hakuna hiyo ya 4500, ya 7,000 ndo ya kwanza (BB7) labda hawajaupdate website, anyway itabidi uonane na Customer Care maana inaonekana ni tatizo upande wao, au jaribu kurudia hiyo process ya kuregister na kuzima ila chomoa na battery kabisa ukishazima kisha subiri hizo 5 min, maana hiyo ndo dawa ya matatizo ya BB, kuchomoa battery.

  Pia jaribu hii ya ku resend service book. KB15402-How to send service books using the email setup application on the BlackBerry smartphone
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kang nakushukuru sana ngoja nijaribu tena
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Ndugu Deo asante sana kwa ushauri na muda wako nitafanya kama ulivosema na nikifanikiwa nitarudi kutoa thx zangu tena kwako na wengineo waliochangia utaalamu wao
   
 9. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kufanya hivyo lakini imebuma,lakini baado nashukuru kwa ushauri baado nazidi kujaribu njia mbalimbali kutoka kwa wana JF wanaotoa ushauri,nashukuru nikifanikiwa nitarudi tena kutoa habari
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwanza nikupe pole, Huwezi kutumia BB yako kupata service ya BB data plan, kwani hiyo inatumia mfumo wa CDMA japo kua pia inafanya kazi kwa mitandao ya GSM.... Bila shaka Storm yako itakuwa imetoka Kampuni ya Verizon..... Na kushauri kama unaweza kuuza hiyo simu fanya hivyo haraka kabla aijaanza kusumbua touch screen yake.


  Labda kama utapenda kuendelea kuwa nayo unaweza kuichakachua na kuitumia kwenye internet ila BBM haitafanya kazi.
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna njia halali itakayo kuwezesha kupata browser kwenye BB yako hiyo mkuu.... hata ujiunge na BES haitakubali push bb browser kuja kwenye simu yako hii.
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sio sahihi, Storm 9530 inasupport both CDMA na GSM.
   
 13. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama umesoma post yangu vizuri hakuna sehemu niliyosema hai-support GSM... Ni kwamba hii simu ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa CDMA Verizon.. Na ndio maana huwezi tumia short code ya *102# ...
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kutimika kwenye mtandao wa Verizon sio tatizo, ni world phone unaweza kutumia mtandao wowote bila kujali ilitumika wapi originally, ili mradi simu iwe unlocked na kama anaitumia bongo maana yake iko unlocked. Hiyo short code ni ya nini? na ina ulazima gani kupata service?
   
 15. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,043
  Trophy Points: 280
  Mkuu hakuna haja ya kuzunguka sana. Kama simu hiyo ni Verizon au Sprint there is no way you can use BIS plan.
   
 16. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,043
  Trophy Points: 280
  Haiko unlocked na ndiyo maana ameshindwa kupata browser.
   
 17. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Personally nshatumia BB tatu za verizon na zote BIS ilikuwa inawork msimkatishe jamaa moyo.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu usiwe mbishi kwa kitu usicho kijua... Je unajua kuwa simu inayotumika tz kwa sasa haita fanya kazi tena ikirudishwa USA?

  Kuwa world wide na Unlocked hakumaanishi kuwa kila kitu kitafanya kazi.. Hata akiweka operamini surf kwa dakika 10 na hapati mtandao tena hadi hatoe battery,

  Kuhusu kupata browser ya BB kwenye hiyo simu kwa njia ya kujiunga na BIS hasahau kuhusu hilo. Hizo ndio BB za Verizon na Sprint zilivyo hasa zile zinazotumia CDMA na GSM... Acha kukaririshwa!
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu unaweza kutuambia model zake? Zilikuwa zina support both technology cdma na GSM? Kama ilivyo bb 8830WE (World Edition) na Storm 9530 zote hizo na uhakika haziwezi kufanya kazi hapa Bongo kwa upande wa Data plan.
   
 20. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  9560 mbili na 9500 moja


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...