sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 2,992
- 5,210
Wadau wa Science on JF,naomba kwa anaeweza anisaidie hili,Nina simu ya BlackBerry,sasa tatizo lake ni kua nikijiunga na bundle ya internet zile service books haziingii katika simu after kuregister,nimejaribu kucheki mtandaoni humu na kwingine nikaona nimepata ufumbuzi(simu yangu ni storm 9530 ya Verizon)..sasa nimeshafanya vyote nilivyotaka ila kilichobaki ni ku-load manually hizo TIGO service books into my phone..nimeshindwa as nilipo sina mtu naemfahamu mwenye blackberry ya TIGO,so naomba kwa anaetumia TIGO BB with bundle(data plan) ya Blackberry internet services,anisaidie kuziback up hizo service books toka kwenye simu yake then anitumie mimi..Inafanyikaje?
kama una BB Desktop Manager,connect BB yako(yoyote ile) on computer then open Desktop manager then nenda kwenye Back Up then chagua selected data ili usifanye back up ya data zote then mark service books halafu u-back up hizo books,ukimaliza nenda huko ulikoback up(normally ni my documents/Blackberry) then utalikuta hilo file with extension ya .IPD ...cha kufanya ni rename it to Tigo Service books.ipd then licompress to zip folder then Ni PM au tuma thru mwakasege@gmail.com utakua umenisaidia sana..naomba kwa anaeweza na alie tayari anisaidie hizo books,nitashukuru.