:tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Siamini kama haya yanatokea bado. Zama zile nikajua ni ushamba utaisha. Kumbe blackberry bado sana. Duh
Mie mzima baba/mama, umeniletea zawadi gani huko ulikokuwa busy?
Mbona ni kawaida tu watu kushare BB pin! Ebu check hapa
Blackberry Pin Exchange (bb Pin) - Dating And Meet-up Zone - Nairaland
:tape2::tape2::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Kwa hiyo huko wapi sijui wakishare PIN na sisi tufanye tu? Kwanini musiwe watu wa kuhoji...
Ni tofauti na PM Preta!simu za Blackberry zote zina namba inaitwa pin,ukiwa na blackberry pin unaweza chat na mtu yeyote yule popote alipo duniani bila garama yeyote.Kwani pin ni nini.......? Ni tofauti na PM.......?
Hahahahaha...:nono::nono::nono:Ninunulie basi blackberry aisee. Afu ntakupa pin yangu exclusively
Vitoto vya siku hizi bana.....:crying::crying::crying:Asprin, hujaona facebook mtoto anaweka my whatsup number os 980 567897? Sasa hilo si tangazo jamani?
Kwani pin ni nini.......? Ni tofauti na PM.......?
Mshiki Preta njoo huku kama una swali la nyongeza LOL
Hapana mi nna TIN number. Haina uhusiano na BlackBerry??na wewe una pini?
Hapana mi nna TIN number. Haina uhusiano na BlackBerry??
Hahahahaaaa:lalala:TIN number nadhani ni ya TECNO. .