BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
- Thread starter
-
- #61
PHP:Maria Roza ahsante ofisini huwa wanakuongelea sana ila sijajua kwa nini i hope nitajua soon
JF without Maria Roza is like Dar without askari monument...............................we love her very much....................................
Niambieni namna ya kujua umuhimu wake mie nasoma posts zake humu humu
Nafikiri sasa hivi ni safe mimi kuja Gongo la MbotoKaribu BlackBerry !
Nafikiri sasa hivi ni safe mimi kuja Gongo la Mboto
bado bana kuna bomu lipo chumbani
Chetuntuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kwaheri naona hauna mpango mzuri na mimi:lol:bado bana kuna bomu lipo chumbani
upo jamani ndio nini kupotea bila kuagaaa.
Kwaheri naona hauna mpango mzuri na mimi:lol:
Nilikuwa na hamu ya kukuchuum.....mwaaaaaaaaaaaaaaaa
Ahsante mkuu naona wewe mkongwe, unafanyaje mpaka unakuwa premium member mbona nikiangalia wengine wako mda mrefu ila sio premium wengine sio wa muda mrefu ila ni premium.
Hahaa haahaa BB wewew ni mdadisi sana, unajua Jamii Forums ni Forum ambayo inahitaji pesa ili iweze kuendeshwa ndio maana hata mimi najipiga piga kila wakati ili niweze kuchangia nilichonacho, maana elimu na maarifa ninayoyapata humu ni zaidi ya elimu ya Chuo kikuu.. sio mbaya kama na wewe utataka kuwa Premium Member unaweza ukawa unachangia kwa kadri unavyoweza
Ni bora kuichangia Jamii forums kuliko kuchangia Shule za kata.
Na kilichonifanya nianze kuchangia ni thread hizi,
CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi
Tumeelemewa: JF kufungwa!
naona jamaa amekuja na speed...siyo malaria sugu,tandale one
Uchaguzi unahusianaje humu mkuu
Karibu bi dada wewe ingia mpaka sebuleniHey nimejiunga leo nimependa nijitambulisha na humu kwani huwa napenda sana kuja jukwaa hili kama guest nikaona isiwe tabu ngoja tu nijiunge ili niweze kucomment kwenye hoja itakayonivutia.Yaani kuna member huwa nawazimia sana
nawapenda nyote
Ahsanteni
Hahaa haahaa BB wewew ni mdadisi sana, unajua Jamii Forums ni Forum ambayo inahitaji pesa ili iweze kuendeshwa ndio maana hata mimi najipiga piga kila wakati ili niweze kuchangia nilichonacho, maana elimu na maarifa ninayoyapata humu ni zaidi ya elimu ya Chuo kikuu.. sio mbaya kama na wewe utataka kuwa Premium Member unaweza ukawa unachangia kwa kadri unavyoweza
Ni bora kuichangia Jamii forums kuliko kuchangia Shule za kata.
Na kilichonifanya nianze kuchangia ni thread hizi,
CHANGIA JF: Mkono mtupu haulambwi
Tumeelemewa: JF kufungwa!
niPM mnamaanisha nini
naweza kuwasiliana humuhumu na mtu bila wengine kujua? looo kumbe naweza wapm watu naowazimia humu hata kama hawataki? au unauliza kwanza
. ni cha nini na kina faida gani? mbona sehemu zingine nimekuta kinyota tu.
Ahsante dena nimeona naambiwa nitoe post ya kwanza nikachagua humu nimekosea?[/QUOTE]
Poa assistant invizibo, ni nani huyu
Niambieni namna ya kujua umuhimu wake
, unafanyaje mpaka unakuwa premium member, mbona nikiangalia wengine wako mda mrefu ila sio premium wengine sio wa muda mrefu ila ni premium.
Ahahaaa! Kwa maswali hujambo BB,
Nimefurahi ulivo na hamu ya kuijua JF na umeonesha ulivokuwa unaimiss siku zote ulipokuwa mere guest.
Wahenga walituambia uliza oungeze maarifa.
Swali lingine Blackberry? Au yameisha?
Karibu sana jamvini tujimwage.